Kuchaguliwa bila kuambiwa course

Kuchaguliwa bila kuambiwa course

Kiwembe 0

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
536
Reaction score
605
Nilifanya application chuo fulani kupitia NACTE na nimetumiwa e mail na chuo husika bila kuambiwa kozi niliyochaguliwa
Ni uswahili?
 
Kama wameweka namba ya simu wapigie
 
Ukishaskia chuo kipo jengo la CCM mkoa au gorofa flani ujue siyo chuo. Nadhan hicho ni kimoja wapo ndiyo maana umesema chuo flani.

Yaani ukisha kuwa na marks ndogo tayari ni mwanzo wa matatizo ki elimu. Pole sana kwa maana ulianza wewe kuwa mswahili kwenye mtihani na chuo kimejibu ki swahili swahili.

JF siyo sehemu ya kueleza shida zako ki swahili swahili, unatakiwa kusema jina la chuo maana huku utakutana na either watu wanaosoma huko au wa utawala wa chuo hicho na itakuwa rahisi kusaidiwa.

Idiot and Lumpen indeed! Umeniudhi sana.
 
Sijapenda tu kukitaja 7bu ndo ninapoenda kusoma hivyo sihitaji kulichafua
Halafu acha wenge nina ufaulu wa kueleweka na chuo chenyewe ni kikubwa tu na siyo UDOM

Nahisi mfumo wa CAS ndo chanzo
Hivyo labda ni tatizo la kiufundi
 
ndio maana nashaur hawa JF, waanzishe amplitude test, mtu anapoanza kuomba kujiunga apewe test...

sasa mbona ulichoandika kwenye post yako, umejijibu kwenye comment, lengo lako hasa ilikuwa nn kuanzisha huu uzi wako, au ulikuwa unatafuta tension tu...

alafu ufaulu wa kutosha ungeenda kuombea NACTE??
 
Sipendi malumbano
Naona unatafuta umaarufu tu
Kwani kusoma diploma ni ujinga
Stupid....nakupotezea
 
Sijapenda tu kukitaja 7bu ndo ninapoenda kusoma hivyo sihitaji kulichafua
Halafu acha wenge nina ufaulu wa kueleweka na chuo chenyewe ni kikubwa tu na siyo UDOM

Nahisi mfumo wa CAS ndo chanzo
Hivyo labda ni tatizo la kiufundi
Na utasubiri sana. Nadhani una matatizo upstairs. Wenye ufaulu mkubwa wanaomba NACTE? TCU hukuiona? Huna sifa bwana mdogo, karudie mtihani utaomba tena mwakani
 
Halafu acha wenge nina ufaulu wa kueleweka na chuo chenyewe ni kikubwa tu na siyo UDOM
ah hahahhaahaaa mkuu acha kujikweza, wenye ufaulu mkubwa wanaomba NACTE?
Na wanaoomba TCU wanaufaulu gani?

Mficha malazi kifo humuumbua, hebu taja chuo na level ya course usaidiwe.
 
Sipendi malumbano
Naona unatafuta umaarufu tu
Kwani kusoma diploma ni ujinga
Stupid....nakupotezea
nidhamu na unyenyekevu vitakuvusha, la sivyo utaendelea kuwa mtaji wa CCM...

Discipline bring the success.. !!!
 
Back
Top Bottom