Msaada kwa mwenye uzoefu ambaye alishawah kutransfer chuo kingine, atupe details inakuweje

mashishanga

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
611
427
Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu au ambaye alishawah kuhamia chuo kingine inakuweje mana ikitokea chuo unachotaka kuhamia kinafungua tarehe Za mwez wa kumi na moja, afu chuo ulichokua umepangiwa mwanzon kinafungua wiki ijayo unafanyeje na nafas kwenye chuo unachotaka kuhamia ipo ila wao wa nafungua mwez wa kumi na moja, na tcu tangazo lao wamesema wanataka kuhama waandike barua kwenye vyuo wanavyotaka kuhamia afu mkuu wachuo unachotaka kuhamia anapeleka majina tcu kabla ya tarehe 18/11/16 afu tcu wanalikomfem jina lako kama tcu hawajavikubal viwango wangu hawawez kuruhusu uhamie hicho chuo, na ikifika tarehe 30/11/16 mkuu wa chuo unachoamia hajapeleka tcu jina lako huna chako, hivyo mwenye uzoefu alisemee hili kua je wakat nasubir confimation chuo nitakacho hamia, ninaenda kuripot chuo nilichochaguliwa mwanzon? Au inakuweje
 
Mimi nilihama lakini kwa hizo process..... duh! Sijawahi zisikia hivyo sina uzoefu nazo. Labda uniulize kuhusiana na zile nilizotumia.
 
Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu au ambaye alishawah kuhamia chuo kingine inakuweje mana ikitokea chuo unachotaka kuhamia kinafungua tarehe Za mwez wa kumi na moja, afu chuo ulichokua umepangiwa mwanzon kinafungua wiki ijayo unafanyeje na nafas kwenye chuo unachotaka kuhamia ipo ila wao wa nafungua mwez wa kumi na moja, na tcu tangazo lao wamesema wanataka kuhama waandike barua kwenye vyuo wanavyotaka kuhamia afu mkuu wachuo unachotaka kuhamia anapeleka majina tcu kabla ya tarehe 18/11/16 afu tcu wanalikomfem jina lako kama tcu hawajavikubal viwango wangu hawawez kuruhusu uhamie hicho chuo, na ikifika tarehe 30/11/16 mkuu wa chuo unachoamia hajapeleka tcu jina lako huna chako, hivyo mwenye uzoefu alisemee hili kua je wakat nasubir confimation chuo nitakacho hamia, ninaenda kuripot chuo nilichochaguliwa mwanzon? Au inakuweje
Na hizo process ni za kwenu mwaka huu isee .miaka yetu ilikuwa unalipia sh 30000 ya transfer then tcu ndo wanamaliza kila kitu na hii ilikuwa inafanyika kwenye vyuo ambavyo hiyo program unayotaka kuna nafasi..
 
Aaha Sawa, sis hatulipi hiyo 30 elf mwaka huu wamebadilisha
Rudi nenda ukasome vzr tangazo lao.
Km unataka kuhama unalipia tena30000 ya transfer, unachagua chuo unachotaka kuhamia na kozi, kisha utasubiri masaa 48 baada ya tarehe ya mwisho ya ku apply waliyoweka wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom