incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,225
- 3,507
Deleted
Ushauri mzuri mkuu.. tatzo hapo ikitokea nikanymwa mkopo hata nikienda chuoni niruhusiwe kuchange course bado bado changamoto itabaki ile ile ya kushindwa kujilipia!!Nenda chuoni ukachange course
Si kuna nafasi ya kubadilisha huko chuoni?Ombi langu kwa mood kwanza Tafadhali usiunganishe uzi huu pia usi edit tittle yangu plz
Wakuu mbele yenu tena kuomba anaejua hatua za kufuata kwa wale ambao tunampango wa kustisha masomo 2016/17 degree program hapo inakuwaje naombeni msaada wenu mi ninataka kustisha mwaka wa masomo kwa sababu zifuatazo÷
01.nimepangiwa coz ya BA in kiswahili literature udom ile hali wadau wameniambia coz hii sio nzur kwan ajira zake znasumbua na ukilinganisha mimi ni mtoto wa poor peasant ninaetegemea nije niajiliwe ili nikaikomboe familia yangu!
02.sijapata mkopo 1st batch na was was wangu mkubwa ninaweza nikakosa pia 2nd batch kwan coz yangu sio ya kipaumbele!
03. Uwezo wa kujilipia ada kama nikikosa mkopo ni changamoto kubwa sana kwangu.
Hitimisho langu ni ushauri na ninataka kujua ni madhara gani yanaweza kutokea ikiwa mtu amesitsha mwaka wa masomo kwa mwaka husika? Na ni procedure zipi inatakiwa uzifuate ili uweze kustisha mwaka wa masomo???
Ushauri mzur ndg ila mbn umepanic katka kutoa ushauri ???Si kuna nafasi ya kubadilisha huko chuoni?
Hao walio kwambia wana ajira?
halafu walikwambia waliosoma course tofauti na hiyo wote wame ajiriwa?
Walikuhakikishia ajira utakapo soma course nyingine?
usikurupuke kwanza kufanya maamuzi kabla ya kujipa muda.
Si kuna nafasi ya kubadilisha huko chuoni?
Hao walio kwambia wana ajira?
halafu walikwambia waliosoma course tofauti na hiyo wote wame ajiriwa?
Walikuhakikishia ajira utakapo soma course nyingine?
usikurupuke kwanza kufanya maamuzi kabla ya kujipa muda.
..kasome Mkuu,nenda kaeleze tatizo lako upande wa ada kama watakushauri cha kufanya alaf suala la kazi mwachie RaisiWakuu mbele yenu tena kuomba anaejua hatua za kufuata kwa wale ambao tunampango wa kustisha masomo 2016/17 degree program hapo inakuwaje naombeni msaada wenu mi ninataka kustisha mwaka wa masomo kwa sababu zifuatazo÷
01.nimepangiwa coz ya BA in kiswahili literature UDOM ile hali wadau wameniambia coz hii sio nzur kwan ajira zake znasumbua na ukilinganisha mimi ni mtoto wa poor peasant ninaetegemea nije niajiliwe ili nikaikomboe familia yangu!
02.sijapata mkopo 1st batch na waswas wangu mkubwa ninaweza nikakosa pia 2nd batch kwan coz yangu sio ya kipaumbele!
03. Uwezo wa kujilipia ada kama nikikosa mkopo ni changamoto kubwa sana kwangu.
Hitimisho langu ni ushauri na ninataka kujua ni madhara gani yanaweza kutokea ikiwa mtu amesitsha mwaka wa masomo kwa mwaka husika? Na ni procedure zipi inatakiwa uzifuate ili uweze kustisha mwaka wa masomo???
Sawa mkuu wangu ngoja tujaribu bahati..kasome Mkuu,nenda kaeleze tatizo lako upande wa ada kama watakushauri cha kufanya alaf suala la kazi mwachie Raisi