Tovuti ya IFM imekuwa hacked.

Void ab initio

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
5,703
5,635
Tovuti ya chuo cha Usimamizi wa Fedha imekuwa hacked na Anon plus.
Wanafunzi hawawezi kuona chochote wala kufanya chochote sio matokeo wala kufanya registration.
00cf43f654ad36a41109da30e2d3e68e.jpg
 
Hivi hili tatizo linakuwa ni la ifm au host servers ndo wanakuwa hawana security nzuri?
Maana vyuo vyote viko hosted sehemu moja japo kila chuo kina sub server yake ndo maana wote wanatumia ac.tz....
Wataaluma wa computer hapo vipi?
Tatzo ni host au ni server ya ifm ndo wamezidiwa ujanja na hao jamaa?
Nimependa pale mwisho wamesema
'P.S. no data was stolen or deleted. Only home
page was chanced. We are not criminal we are
AnonPlus'
 
Back
Top Bottom