Sitta juma
Member
- Oct 4, 2016
- 43
- 24
Habar zenu wana jf,nauliza utofauti uliopo ktk hizo program,na ni vyuo gan vinatumia kudahil wanafunzi na ni kwa course gan
Haya uliyoyasema hapa juu yako applicable na vyuo vya Tanzania au ni vyuo vya abroad tuhigher diplomaunaipata pale unapojiunga bacherol degree..si miaka mitatu degree? sasa ukiamua kuishia mwaka wa pili yani huendelei tena utatunukiwa higher diploma...ila kama ukimalizia mwaka ulofuatia mmoja ndo unapata degree.
ni kama vile ukiwa diploma ya miaka miwil then ukaishia mwaka wa kwanza na kushindwa kuendelea mwaka wa pili utatunukiwa basic technician certificate.
vyuo vyote vinatoa ordinary diploma..ila kupata higher diploma shurt ujiunge bacherol degree hlf uishie mwaka wa pili