Wanafunzi waliochaguliwa kuingia Chuo kikuu(diploma)

Jamani batch zote tayari mbona sioni jina langu na viegezo ninavyo nisaidie nifanyeje?
Kwa kupitia nacte???
Kuna baadhi ya vyuo havijatoa majibu lakini Tcu &Nacte wamesha maliza kazi ya kudahili hivyo ingia kwe fail lako uangalie nn wameandika???? Watakupa link ya kufuata ili kujua wapi umepangwa
 
Asante ila naingieje kwenye faili
 
Kama umeandikiwa selected,tembelea hii link TCU CAS | Home
cas_core/view_provisional_results,uweke index no yako,utaona ulipo chaguliwa
Mbona huwa wanaweka orodha ya provisional results chini ya eneo la kuingiza namba ya index lakini hawajaweka?

Hawamu zote huwa wanaweka!
 
Back
Top Bottom