Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu mimi ni mjasiriamali nina uhitaji wa industrial dryer angalau yenye uwezo wa kukausha tani 30 (kiwango cha chini) kwa siku, sasa sijui naanzia wapi. Naomba ushauri namna ya kuipata, bei yake...
1 Reactions
7 Replies
948 Views
Hello wana JF. ingia katika link www.facebook.com/abdul.sungita.1 then fungua link ya equity bank kuangalia wazo lake na kulipgia kura. Ni wazo bunifu (PesaApp).
1 Reactions
0 Replies
846 Views
Uchumi Foundation tunatoa Huduma zifuatazo:- Ushauri jinsi ya kuanzisha biashara kwa mtaji Mdogo. Kubuni wazo la biashara. Kuandaa business plans za biashara na makampuni. Kuandika katiba za NGO...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wadau, Takriban mwezi mmoja nyuma,vyombo vya habari vilipata kuripot kuwa Kiwanda cha Biotech cha Kibaha kimeweza kupatiwa mkopo mnono na NSSF kwa ajili ya kukiwezesha kifanye kazi.Pia siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunahitaji mshauri wa mambo ya uwekezaji (investiment advisor) kwa ajili ya mradi wetu ambao tunataka kuufanyia kazi. Kama kuna mtu anataarifa yoyote basi tuwasiliane.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Economists predicts a collapse of US economy starting from Wall Street soon after 2016 elections 7 Signs of a U.S. Economic Collapse in 2016
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF heshima mbele; Nimepata taarifa rasmi kuwa kuna shirika kubwa sana la ndege la wazawa wa Tanzania hapa hapa linaanzishwa litakuwa na ndege nyingi zaidi ya Precision (zaidi ya ndege...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Byase Luteke During the first week of December 2009, Tanzania joined the rest of the world to commemorate the 69th Anniversary of the International Civil Aviation (ICAO). This is one of the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
“Soon, though, I became aware that there was an even bigger game available to players like me. It was, in fact, the biggest game in town -- the international financial markets. So my interest...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Natafuta duet, vitz au starlet, bei isizidi 4.5m. Namba yangu 0717960200
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanajf,kwanza nitaanza na kuwashukuru sana kwa mawazo yenu mazuri pamoja na ushauri!Julai mwaka huu nilikuja hapa nikiwaomba ushauri wa nini nifanye baada ya kukusanya ka shilingi 700000/=Wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara kadhaa utawasikia wabongo wanalalama saaana, kwamba kampuni fulani ya simu, vifurushi vyake ni ghali sana, na hivyo watahamia kwa mpinzani. Bila shaka wengi wao hawajui kwamba vifurushi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nina mpango wa kuagiza nguo za wanawake toka China online kupitia ALIBABA mwezi November, Ninataka kuanza kuagiza pieces 200 kwanza, Ninaomba mnipe uzoefu wenu na ushauri kwa ujumla juu ya mambo...
2 Reactions
54 Replies
29K Views
Nimpongeze sana mkuu wa nchi kwa mapinduzi anayokuja nayo kwa maslahi ya nchi. Lakini unapofanya jambo la kitaifa ni vizuri kufikiria mara mbili ili usilete AIBU. Ni vizuri kufanya jambo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya tetemeko kuikumba mikoa kadhaa ya kanda ziwa,nimeanza kujiuliza kama kumilki nyumba bado ni asset ya kuaminika kama tulivyozoea. Ni kawaida kusikia mtu anasema ukitaka kuwekeza na hela...
10 Reactions
154 Replies
15K Views
Nina Tsh 1,000,000,naweza fanya business gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nataka kuanza biashara ya kupeleka vitu vya kike hasa saa,cheni hellen, viatu nchini Zambia vipi kumekaaje? Hasa mji wa lusaka. Mazingira ya biashara kule Yapo vipi? Naomba kuwasilisha
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mfugaji na pia nimeanza kujishughurisha na hii biashara, natafuta soko au order ya hii bidhaa ,popote pale nitakufikia kwa mkoa wa mwanza, iwe bar au kwenye mahotel.kama unapenda nyama...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Business Ethics in Islam By Dr. Muzammil Siddiqi As Muslims, we have to adhere to ethical standards, not only in business but also in all aspects of life. Both business and ethics are...
1 Reactions
2 Replies
872 Views
Ndugu Wana JF, Nimejitokeza Kuomba Ushauri Na Msaada Wenu. Mimi Ni Mjasiriamali Mdogo Ambaye Nimejaribu Sana Kwa Kutafuta Na Kuomba Mtaji Lakini Sijapata Mwanga Ninaohitaji. Naomba Mnisaidie...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…