Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa wenye ufahamu kuhusu bei ya tikiti .Natarajia kuvuna tikiti mwezi huu wa tisa mwishon naomba kujuzwa being za masoko zikoje. Tafadhari kwa mwenye taarifa anijuze.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Ndugu zangu Watanzania tupo katika Ardhi ya madini. Bila shaka nitapata hapa ninacho kitafuta. - Nimetokea kujuana na watu wenye pesa zao kutoka nje. Wanahitaji kuwekeza katika uchimbaji wa madini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Click link ~ go to "full text" K-Developedia > Resources > National development strategy of Tanzania in view to Korea's development experience www.kdevelopedia.org
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Uwekezaji ni tofauti na bishara (kununua na kuuza kwa faida kwa muda mfupi 1yrs max) Kwa kawaida uwekezaji ni mradi wa muda wa kati hadi mrefu japo pia yawezekana hata chini ya...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Habari Jf. Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa. Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Habar wakuu..... Nilinunua bidhaa kwa mtandao na nikasafisha kwa njia ya flat rate shipping ambayo ni free ila huchukua had muda mpaka siku 25 kukufikia........Kifurushi nimenunua...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
wandugu, kwa anayejua maduka ya mashine fulani za overlock (hizi ni aina za chereheni za overock) kwa hapa dsm naomba tuelekezane. ninahitaji either of these three types. 1. JUKI overlock sewer...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Wenzangu na mie mlosoma miaka ya 80 mnakumbuka ubeti huu.... Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba watu wengi wamekuwa na malengo na matarajio makubwa sana juu ya maisha yao, kiasi kwamba licha ya kupata mshahara/malipo/ujira mdogo kulingana na malengo yao wanafanya bidii mno...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Waheshimiwa wana JF. Wengi wanasema wanashidwa kuanzisha biashara kwasababu hawana mitaji lakini mimi ni kinyume chake nina mtaji wa tsh 3,00,000/=, mimi ni mwalimu naomba msaada wa mawazo ya...
0 Reactions
80 Replies
38K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EUR/USD moved sideways last week, from Monday till Thursday, and then broke...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
"The Premier Event For Business Minded Individuals, Start-Ups, Entrepreneurs and Business Owners! Do You Want To Start Your Own Business? Do you have a Burning Business Idea? Are you a Start Up...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Aidha naibu waziri alisitisha leseni za makampuni ya STACO na Mohamed Enterpries mnamo August 07 mwaka jana, ambapo baada ya siku kadhaa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Mbolea Tanzania Suzana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu,Kuna mashine nataka kuagiza through alibaba lakini nashangaa bei zipo chini sanaaa kulinganisha na market price! Naogopa nisije tapeliwa wenye uzoefu na alibaba msaada please.
0 Reactions
73 Replies
15K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 17 “You actually know less than you think you do. I found this fascinating and it had me drawing bikes on a blank piece of paper. The central...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Serikali ya CCM iliingia kwa mbwembwe nyingi na mikogo kiasi kwamba ilikua gumzo Duniani,lakini inakoelekea ni kuangukia pua.Nasikia bwana mkubwa kwanza hashauriki analoamua yeye akiamka ndio la...
2 Reactions
3 Replies
940 Views
Zipo taarifa zinazoelezea kwamba kodi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa asilimi 0.3 (0.3%) ilikuwa inalipwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na kampuni ya Pan Africa Energy. Ni baada ya juhudi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukipenda kujionea huruma na kuyapa maisha yako sababu ya kutokufanya yakupasayo kufanya kwasababu unasema ni magumu kufanyika, ukaamua kuchagua yaliyo mepesi kwako naamini siku zijazo maisha...
12 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habar za asubuhi, Mimi ni kijana Nina miaka 23, nimenunua canter ya ton 3.5 Je unaweza kufanya shughuli gani ya kudumu tofauti na deiwaka, nipo Kigamboni, Dar-es-salaam! Naombeni ushauri
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jaman wadau naomba kujua kuhusu podcast hii kitu nahitaji kujua ikoje na ifanyaje kaz
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Back
Top Bottom