Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Niaje wadau, nahitaji mawazo yenu, nataka kuanza kuuza maziwa FRESH ya Ng'ombe. Soko lake mnalionaje ukizingatia kuna substitute za Bakhresa na Tanga FRESH. Tafadhali ongea pointi sio kubwabwaja..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni aina gani ya madini na soko Lake likoje
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina genge na kaduka kadogo nyuma yake.Tatizo wenye maduka makubwa wanaonizunguka wamekuwa na kawaida ya kuja kuangalia vitu ninavyouza mpaka ninaogopa hasa ikichukuliwa ni mwezi tu nimeanza nazi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam naomba kujuzwa,.... kama humu jf kuna/ au twaweza kuwa na VICOBA. Namshukuruni sana.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau Tuna soko la uhakika la kahawa nje ya nchi. Muuzaji kama ana shamba mwenyewe au awe anajua kahawa yake inatoka wapi. Soko lipo la uhakika. Mwenye kutaka habri Zaidi tuwasiliana kwa pm...
1 Reactions
0 Replies
838 Views
Wadau naomba kujua kama endapo ntanunua bidhaa kutoka mtandaoni mfano ebay au amazon ntalipia tena gharama nyingine itakapo fika hapa nchini kwa kutumia urgent kama DHL au FEDix? Asanteni :noidea:
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Niko ushirombo-bukombe najishughulisha na biashara ya MPUNGA mara baada ya kumaliza chuo mwezi wa 7, nilianza na junia 1 hadi sasa nachukua mbili ni biashara nzuri inalipa naomba mwenye nia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hvi mtu anaweza kuniingizia pesa kupitia Akaunti hzi za bank akiwa nje ya nchi mfano Australia au England mimi nina Equity bank na kadi ni Visa
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Wajasiriamali Wadogo Nimekuwa ninapekuwa na kusoma hizi nyuzi humu bila kuona hata mmoja unaogusia hali ilivyo mbaya mtaani haswa kwa wafanyabiashara wadogo. Biashara nyingi zinafungwa kutokana na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada kwenye hizi sekta mbili, ninataka kuendeleza mradi wa ufugaji wa samaki, nahitaji mafunzo yatakayonisaidia kuendeleza huu ufugaji, pia nataka kuanza shamba la mipapai, naombeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini ndugu, Nauliza Ni king'amuzi gan kina bei rahis mm ninahela ndgo efu hamsn tu na shida yangu niwe napata taarifa ya habari basi. Nipo mwanza mwenye kujua anielekeze tafadhari. Asante
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Hakuna biashara inayonishangaza kama biashara ya mabondo ya sangara, mabondo ambayo bila shaka yako kwenye orodha ya nyara za serikali lakini isiyojaliwa na serikali. Biashara hii ambayo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Msema kweli ni mpenzi wa mungu Maisha ni magumu, mshahara hautoshi halafu ukitegemea mwanaume akupe hela hakupi kwanza anakudharau anakuona huna maana. Nimefikiria kuanzisha biashara ya saluni...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Wandugu kuna kahela natarajia kukapata kiasi flani na natarajia kuchukulia dirishani (mkopo) na ili kufikia rejesho lao la mwezi inabidi nifanye biashara yenye kupata hela ya kutosha. Wazo langu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salam kwenu. Nina Ndg yangu ana mtaji wa 70m anatamani sana kupata biashara ya kuwa wakala wa bidhaa inayofanya vizuri Sokoni. Naomba msaada wa mawazo. Anaishi Dar.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Green Agriculture Pata ujuz wa Kilimo Kwa kusoma makala mbalmbal zilizoandikwa na wataalamu wa Kilimo *Huduma zetu* _drip irrigation design and installation, Sprinkler irrigation and all...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni cement ipi nzuri ya kufaa kujengea nyumba ya kuishi... Huku kwetu simba cement ni bei nafuu, so nkajikuta nahitaji kuitumia ila nkahofia huenda isiwe na ubora, ndo nkaona nawaulize...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom