Mimi ni mfugaji na pia nimeanza kujishughurisha na hii biashara, natafuta soko au order ya hii bidhaa ,popote pale nitakufikia kwa mkoa wa mwanza, iwe bar au kwenye mahotel.kama unapenda nyama yake au nguruwe mzima niko tayari kukufikia, asanteni sana wadau.