Msaada wadau biashara Zambia

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Wadau nataka kuanza biashara ya kupeleka vitu vya kike hasa saa,cheni hellen, viatu nchini Zambia vipi kumekaaje? Hasa mji wa lusaka. Mazingira ya biashara kule Yapo vipi? Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom