Ujio wa sky aviation Tanzania

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
16,495
17,367
Wana JF heshima mbele;
Nimepata taarifa rasmi kuwa kuna shirika kubwa sana la ndege la wazawa wa Tanzania hapa hapa linaanzishwa litakuwa na ndege nyingi zaidi ya Precision (zaidi ya ndege 20)..za uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 75 kila moja...wameanza kuajiri marubani kama 20 hivi na air hostes kama 30.
Mwenye data kamili atujuze;
Nini mustakabali wa ATCL?itaweza kupambana na makampuni binafsi tena ya wazawa wenye nguvu sana na influence serikalini??
Nawasilisha
 
Hili shirika si ndo fly540 imeuzwa kwake?

Haya ngoja tusubiri tuone kama wataziweza fitna za precision. Wasije wakawa kama watangulizi wao.
 
nanukuu......''nimepata taarifa rasmi'' mwisho wa kunukuu......

Mkuu hebu kuwa na ''spesifiki'' japo kwa bahati mbaya inakuwaje umekuja na taarifa rasmi harafu unatakaje tena msaada wa data kamili............???
 
Taarifa rasmi ndio hizo nilizomwaga hapo,najua kuna wadau wana data za ndani zaidi.....(Kuajiri marubani na crew wengi hivyo) ni tAarifa rasmi,jamaa zangu wameshaajiriwa hapo!
 
liwepo lisiwepo sio tatizo. Tunataka kuona jinsi shirika letu lilivyojipanga kupambana katika mazingira yote.
 
Ndegw iahirini mchezo?waulizeni Precision walipelekea engines overhauling france.Aviation business ili ifanikiwe inaendana na mambo mengine pamojahapa pagumu sana
 
Sio lazima kuchangia kila unachokiona hata kama huna point,utulie wenye data zaidi watachangia!!ushauri wa bure tu
Hapana wewe ndiye unayechanganya members hapa jukwaani, haiwezekani uwe na taarifa rasmi halafu unaishia kutuuliza tena...
 
Biashara ya Airline Tanzania wacha wafanye kina ATCL na Precision ingawa kwa ujio wa ndege mpya Precision atakaa lazima. maana atampeleka mule mule anapokwenda viwanja korofi/vidogo....mtwara, kigoma, tabora, inabid sasa waende na mpanda maana nimeuona uwanja wao mujarabu kabisa ule.
 
Hapana wewe ndiye unayechanganya members hapa jukwaani, haiwezekani uwe na taarifa rasmi halafu unaishia kutuuliza tena...
Member wa mwendo kasi....tangu 2012 eti 2016 Sept ndio inajibiwa! Wale wale wa buku 7 ambao sasa wanapewa bando za Mb8! Kwisha
 
Wana JF heshima mbele;
Nimepata taarifa rasmi kuwa kuna shirika kubwa sana la ndege la wazawa wa Tanzania hapa hapa linaanzishwa litakuwa na ndege nyingi zaidi ya Precision (zaidi ya ndege 20)..za uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 75 kila moja...wameanza kuajiri marubani kama 20 hivi na air hostes kama 30.
Mwenye data kamili atujuze;
Nini mustakabali wa ATCL?itaweza kupambana na makampuni binafsi tena ya wazawa wenye nguvu sana na influence serikalini??
Nawasilisha

Lipo wapi hilo shirika maana since ulinadi ni miaka minne imekatika sasa
 
Back
Top Bottom