Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamaa naomba msaada nijue ni namna gani mtu ataweza kukutumia pesa akiwa Kenya kwa kutumia Western Union na Mtu akiwa hapa Tanzania afanyaje ili aweze kuzipata hizo fedha na pia Western Union...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa. Kunani Tigo?
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Naomba darasa kuhusu UTT Asset Management and Investor Service Plc. Faida zake? Mfuko gani ni Mzuri n.k
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyakazi,nimehamishiwa Arusha toka wiki iliyopita na kwa mfumo wa ofisi yangu ntahama baada ya miaka mitano ,naomba wadau mnijuze hivi naweza fanya biashara gani mtaji wangu ni mil 7...
2 Reactions
13 Replies
12K Views
Mazda CX-7 2.3 DISI MZR 5 Door Gari hii ni ya mwaka 2007 na inakaribia kufika miaka 10 Nimejikakamua kununua gari hii kwa pauni za Uingereza 3,700 kupitia Auto Trader. Kuhusu gari hii: Ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kampuni ya Crystal Clear Software Ltd kwa kushurikiana na kampuni ya Get up Tanzania Co. Ltd na Anjoa Co. Ltd inakuletea mafunzo ya siku moja ya matumizi ya program ya mikopo inayoitwa Loan...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 18 “Get no joy, except a superficial joy, out of winning. Get no sadness, except a superficial sadness, out of losing. Get to the point where it...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
8 THINGS YOU NEED TO GIVE UP IF YOU WANT TO LIVE A BETTER LIFE Life is short, so why waste it living like you have got eternity to live? It’s important as humans we live knowing we have this one...
5 Reactions
0 Replies
932 Views
Kwenye kaduka kangu nataka niongeze na huduma za Airtel money,M pesa,tigo pesa na Halopesa.Tayari nimeshaomba laini hizo toka mwezi wa 8 mwaka huu ila bado sijaletewa laini hata moja.Kila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je, Production costs katika viwanda hapa Tanzania zinatoa ushindani katika soko Africa Mashariki? Je, bidhaa za Tanzania zinauzika Kenya au Uganda? Mfano, Mafuta ya kupikia ya Sunola ya Singida...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UPS ni kampuni inayofanya shughuli za kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kuja au kupeleka nje ya nchi. Niliagiza mzigo wangu kutoka nje ya nchi, umefika tayari umefika na nimeambiwa natakiwa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea , maelezo zaid chek hii website TheTasksPay.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kupanda kwa thamani ya shilingi tanzania ndio uchumi unaimalika au nn maana yake
0 Reactions
0 Replies
889 Views
KUNA SWALI NAJIULIZA KILA KUCHWAO KWANINI VITU MAGEREZANI VINAUZWA BEI GHALI WAKATI HUKU URAIANI NI BEI RAHISI WAKATI VITU NI VILE VILE? NA KWA NN HAWATOI RISITI?
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Wakuu Nimekua mwajiriwa wa kampuni flani binafsi kwa muda wa miaka miwili sasa,nimepata uzoefu mzuri tu wa kuweza kuendesha firm yangu pia. Nimefanya kazi na mwajiri wangu vizuri tu ila kwa siku...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu.Naomba kupata kuelimishwa juu ya utenganezaji Wa bisi za chocolate.am eager to learn.shukran sana
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kufahamu bei ya chrome tourmaline
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna huyu kijana watu wanasema kuwa ni mmojawapo wa wawekezaji wazawa wa mwanzo kabisa nchini kwenye mtandao wa Internet. Wanaofahamu naye kazi wamekuwa wakimsifia kuwa ana uwezo mkubwa wa...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Wanajamvi naombeni msaada mzee wangu anataka achukue mkopo.....salary yake 900k takehome naombeni mchanganuo wa ni anaweza kopeshwa maximum kiasi gan kwa slip hyo hapo. Na kutoka bank ipi...?
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Habari za majukumu wapendwa !!! Naomba kujuzwa hatua kwa hatua namna kusajiri biashara na kupata lesseni. Biashara yenyewe ni ya statationery and business center. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Back
Top Bottom