Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,mimi nina mpango wa kufungua duka la kuuza dawa za mazoezi mwishoni wa mwaka huu.Bali sina uhakika wa jinsi ya kupata kibali hicho cha kuuza dawa hizo na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilikopa 15mil katika taasisi moja ya kifedha kama miaka 3 iliopita nikaomba wanikate makato makubwa ili nilipe kwa muda mfupi it was like 493000 kwa mwezi. Sasa haya makato ni makubwa mno...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Hello dears Nahitaji ufahamu zaidi wa ku-export nyanya kwenda nchi za middle east ni process gani natakiwa kufata kwa hapa Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Jarida lasifu ndege mpya za Magufuli JARIDA mashuhuri duniani la Forbes, limezitaja ndege aina ya Bombardier Dash8 Q400, ambazo tayari Tanzania imezinunua kuwa ni zenye usalama, zinazotumia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa X-staff wa iliyokuwa ATC, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
We are quite pleased to announce that Crystal Clear Software Ltd, the sole developer of number one loan software called “loan performer” has released new version. More than 50 countries are using...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Life Advice: What can people start doing now that will help them a lot in about five years? 1. Don't have that extra slice of pizza, you've had enough to eat already - you will regret it. 2. You...
1 Reactions
1 Replies
762 Views
ndugu zangu nahitaji kujua kwa maeneo ya dar na dodoma mchele ni bei gan kwa kilo kuanzia wa kawaida hadi mzuri sana
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba Kwa yeyote aliye mzoefu na biashara ya mchele, nataka kuianza ila cna uzoef Nahtaj mtu wa kunishka mkono,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa, naomba kueleweshwa ni Benki gani Tanzania inatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wafanyakazi? Na riba hiyo ni kiasi gani? Asante.
0 Reactions
14 Replies
14K Views
Habari wanajamvi nahitaji mkopo nikuze na nipanue wigo wa masoko wa biashara yangu ya viatu vya kimasai. maana inafika wakati wateja wanakuwa wengi ila kutokana ninamtaji mdogo nashindwa kuwapa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada wakuu juu kuanzisha blog unaweza kulenga kitu gan ambacho kitafanya uwe na wasomaji wengi na wafuatiliaji wa Blog ako nitashukuru sana.
1 Reactions
1 Replies
603 Views
Wakuu naombeni mwenye mwongozo juu ya biashara ya zao la ndizi Kwenye masoko ya dar
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mara kadhaa sasa nimenunua betri za Panasonic AA, zenye nembo ya TBS, lakini zimekuwa zinaacha kufanya kazi ndani ya nusu saa, zingine hata siku mbili hazifiki. Na hii ni kwa matumizi madogo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana Jf. Ukiwa kama mjasiriamali huru, unatakiwa kuwa huru kwa maana kuchunguza fursa popote na kuzitumia ipasavyo. Ifuatayo ni Fursa ya kupata notes bora za kutengeneza sumu za wadudu na...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD is bullish in the short-term, but neutral in the long-term. Against...
1 Reactions
1 Replies
523 Views
Wataalamu wa masuala ya kodi na sheria hebu tujuzeni kama pesa za mshindi wa BBA season 9 Idris Sultan zinapaswa kutozwa kodi kwa mujibu wa sheria zilizopo Hapa nchini. Nauliza kwa sababu nataka...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Biashara
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni mjasiriamali nina uhitaji wa industrial dryer angalau yenye uwezo wa kukausha tani 30 (kiwango cha chini) kwa siku, sasa sijui naanzia wapi. Naomba ushauri namna ya kuipata, bei yake...
1 Reactions
7 Replies
948 Views
Back
Top Bottom