Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana Jf. Naomba Kufahamishwa: hali Ya Hewa Ya Uyui, @aina Za Mazao Zinazoweza Kulimwa fursa Zingine Ukiacha Kilimo HATA Historia Ya Wilaya, changamoto Zilizopo:kibiashara,kiuchumi,maji Na N.K! NB...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kutana na mabigwa wa kufunga electric fence utaandaliwa quatation bure na tutakuja kukutembelea kwenye site yako bure kabsaaaaaa hii ni ofa ya muda mfupi tunapatikana kariakoo mtaa wa livingstone...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bakhresa- 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine na siyo Restaurant Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Fungua maduka Kariakoo/...
3 Reactions
80 Replies
14K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya. Jamani kuna jambo linanishinda Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi (siyo chakula). Sasa kuna hii ishu ya shipping kusafirisha mizigo na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kazi wana Jf, Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutufikisha mwaka huu mpya wa 2017, pia tuzidi kufanya maombi ili tuweze kuishi miaka mingi na kheri Duniani Mwaka huu...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Jamani Naombeni Msaada mtu anayejua kuhusu Mradi wa bakery ikiwa ni pamoja ni gharama ya vifaa husika
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania, napenda kufahamu kuhusu hii biashara ya mabango makubwa kwa ajili ya kutangaza biashara za makampuni mbalimbali. Na, nina interest zaidi na mabango ya ki elekroniki, au niseme ambayo...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Habarini Wadau Wa Jukwaa Hili, - Mimi Ninavutiwa Sana Haya Masuala Ya Fashion - Sasa Nimefikiria Kuanza Mradi Wangu Rasmi Wa Mavazi Kama Nilivzotaja Hapo Juu, Naomba Mwenye Kujua Abc Za Haya...
4 Reactions
32 Replies
9K Views
Juzi mtalaamu wa Uchumi na Mwenyekiti wa CUF Prof. I.Lipumba alitoa darsa la uchumi na jinsi gani Tanzania inaweza kutoka hapa tulipo kutokana na sera mbovu za CCM. Lakini mi japo sio mchumi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakika nimeshtushwa Na tangazo la Ewura kukubali ombi la Tanesco kupandisha bei ya Umeme Kwa Asilimia 8.5 .Watanzania nadhani mtakubaliana nami kuwa Waziri wa Nishati Na Madini Mh.Sospeter...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hbr wadau? Mimi nimeajiriwa nina mshahara wa 570,000. ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze kazi lakin sioni mafanikio yoyote zaidi ya kulipa kodi, kununua chakula na kumhudumia kidogo mke wng...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Wana jf ni bank gani ambayo mtu anaweza kukopa kwa kutumia karatasi ya kiwanja au shamba? Sio hati lakini.....
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima yenu wanaJF, Naomba kujuzwa benk kwa hapa Tanzania ambayo naweza kufungua akaunti na kupata kadi ya ATM hapo hapo. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
75 Replies
20K Views
Natafuta MTU committed tuungane tujenge shule ya pre&primary school English medium school.0757658783.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je gharama ya Tin number na leseni ya biashara ya m-pesa na Tigo pesa ikoje? Ukipeleka TIN number na lesen je unapata hizo line za mpesa na Tigo pesa kwa muda gan?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kampuni ya Vodacom ipo mbioni kuanza kuuza hisa za awali (IPO) kwenye soko la hisa la Dar es salaam (DSE) zenye samani ya Tshs. 500 billioni mapema mwakani. Kutokana rekodi ya kibiashara huko...
7 Reactions
5 Replies
4K Views
Naonaga watu wanahangaika mno na ujasiriamali mara semina ya wapi sijui mara wajaribu biashara hii na ile lakini watu hao wengi wana tabia ambazo zinawafanya wasifanikiwe hata wafanyaje... hizi...
18 Reactions
28 Replies
4K Views
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka nifanye biashara ya viatu, kwa eneo niopo. Nahitaji M5 kama mtaji. Mwenye wazo au ushauri namna ya kupata hii hela tafadhali nahitaji sana ushauri au maoni yako au kama kunamtu ajaeweza...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Back
Top Bottom