Naomba kufahamishwa fursa zilizopo wilaya ya Uyui, Tabora!

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Wana Jf.
Naomba Kufahamishwa:
hali Ya Hewa Ya Uyui,
@aina Za Mazao Zinazoweza Kulimwa
fursa Zingine Ukiacha Kilimo
HATA Historia Ya Wilaya,
changamoto Zilizopo:kibiashara,kiuchumi,maji Na N.K!
NB:
Picha,ramani,na Michoro Inaweza Kutumika Ili Kuonyesha Mgawanyo Wa Kata,vijiji Na N.K !
Natanguliza Shukrani
 
Nafahamu zamani Uyui kama wilaya walikuwa hawana ofisi yao.

Walikuwa wamepewa majengo pale manispaa ya Tabora.

Ila kwa sasa nasikia wamejenga ofisi za utawala Uyui. Lakini walipojenga bado hapajachangamka. Nafikiri watumishi wengi wa manispaa bado wanalala Tabora manispaa na kwenda kazini asubuhi.

Mvua ziwikepo unaweza ukalima mpunga. Hata karanga pia zinakuwa vizuri.

Ni muda mrefu tangu niende huko. Tusubiri data za wengine.
 
Asante,makao Makuu Ya Halmashauri Yako Kata Gani?
Umbali Wa Kutoka Makao Makuu Hayo Mpaka Tabora Mjini Ni Km Ngapi?
 
Dah ni muda mkuu. Sina uhakika wa kata. Japo najua kuna zahanati pale inaitwa isikizya. Sasa sijui kama ndiyo jina la kata.

Kutoka Tabora mjini mpaka uyui makao makuu ni kama KM 30 japo sina uhakika sana.

Ingia Google map utapata data za ziada.
 
Back
Top Bottom