Nahitaji m5 kwa mtaji wa biashara

kukumega

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
1,134
476
Nataka nifanye biashara ya viatu, kwa eneo niopo. Nahitaji M5 kama mtaji. Mwenye wazo au ushauri namna ya kupata hii hela tafadhali nahitaji sana ushauri au maoni yako au kama kunamtu ajaeweza kunikopesha na anikope.
 
Back
Top Bottom