Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Hakika nimeshtushwa Na tangazo la Ewura kukubali ombi la Tanesco kupandisha bei ya Umeme Kwa Asilimia 8.5 .Watanzania nadhani mtakubaliana nami kuwa Waziri wa Nishati Na Madini Mh.Sospeter Muhongo aliutangazia umma kupitia Bunge kuwa Itakuwa ni ndoto Umeme kupanda.Je Mh.Muhongo alikuwa anatudanganya Watanzania?