Prof. Lipumba na nadharia ya "cash economy" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Lipumba na nadharia ya "cash economy"

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by JERRY, Sep 11, 2012.

 1. J

  JERRY JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Juzi mtalaamu wa Uchumi na Mwenyekiti wa CUF Prof. I.Lipumba alitoa darsa la uchumi na jinsi gani Tanzania inaweza kutoka hapa tulipo kutokana na sera mbovu za CCM. Lakini mi japo sio mchumi napata shaka na namna yy prof.na CUF yake watavyoweza kutekeleza sera hii ya kuwapa watu hela kama ni on monthly basis sijui? maana sikuwepo.

  Nchi kama za scandinavia, italy na kwingineko hii sera ilikuwepo huko nyuma ila kwa sasa haitumiki kwani ime- prove failure na hii ni kutokana na mazingira ya sasa ya uchumi wa dunia "GLOBAL ECONOMY". Mi nilizani angeleza namna CUF itavyoweza kutengeneza mazingira/fursa bora ili kumwezesha hata mtu wa chini kabisa kutumia fursa hizo kujitengenezea maisha bora, kama tunavyoona kwa nchi ya Rwanda sasa ivi.

  Pengine wachumi watusaidie ktk hili, vinginevyo mimi naona kama hii ni NADHARIA zaidi na pengine kauli ya kisiasa, ni kitu kisichowezekana kabisa ktk mazingira ya sasa Tanzania
   
 2. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,475
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Kajipange upya.
   
 3. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  kwa nchi yenye utajiri kama tz tukiondoa ufisadi na maliasili ikitumika sawa inawezeka
  kwa mfano gas ilio vumbuliwa tz pamoja na uwezekano mkubwa wa kupatikana mafuta na pia utajiri wa madini basi hili linawezekana bila ya shida
  • kuwait mtoto akizaliwa tu anawekewa $ 40,000 kwenye account yake, na wasiokuwa na kazi above 18 wanapata posho sawa na mshahara wa chini,eleimu mpaka chuo kikuu bure, afya bure,umeme bei poa,petrol na gas ya nyumbani kama bure,wazee wanapewa penseni ya kutosha
  • saudia pia hali ni kama hio
  • uae raia wake wana enjoy uchumi wa nchi yao, afya bure, elimu kwa wasio kuwa na uwezo bure,mafuta na gas kama bure , wazee wanalipwa penseni ya kutosha
  • hali nio pale libya alipokuwa ghadafi
  • venezuela pia kuna kuwezeshwa kwa raia ndio maana kumundoa chavez ni kazi kubwa
  • hata uingereza huna kazi basi unapata posho ya bure na nyumba
  sera hii inaweezekana tu kama ubinafsi utaondoka na watu kuweka maslahi ya umma na taifa mbele
  cha kwanza ni kufanya ajira kwa wingi
  kila mmoja alipe kodi
   
 4. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  kuna kipindi lipumba aliwaahidi wananchi wa kusini akiingia maadarakni atawaruhusu kulima pamba wakati inajulika mikoa ya kusini ilizuiliwa kulima pamba kutokana na mdudud aitwaye red ball worm aliyeko msumbiji jamaa ni heri arudi chuoni akafundishe
   
 5. Samcezar

  Samcezar JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2016
  Joined: May 18, 2014
  Messages: 1,913
  Likes Received: 1,361
  Trophy Points: 280
  Me nadhani inawezekana kabisa. Kwa maana ukiangalia kiuhalisia sisi kama nchi tuna rasilimali ambazo zikifanyiwa matumizi sahihi kwa maana zikiwekezwa katika namna sahihi basi tunaweza kutengeneza kipato cha uhakika. Tatizo pesa inakwenda mahala au maeneo ambayo mrejesho wa productivity ni sifuri. Kwa staili hii tutaishi maisha haya haya miaka yote kwa maana hakuna jipya kiukweli. Ila naamini tukianza kujihoji tunaelekea wapi na kubadili mfumo wa maisha tutaweza kufika mbali.
   
Loading...