Hizi tabia 'hutaweza fanikiwa milele'


The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,810
Likes
23,237
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,810 23,237 280
Naonaga watu wanahangaika mno na ujasiriamali
mara semina ya wapi sijui
mara wajaribu biashara hii na ile

lakini watu hao wengi wana tabia ambazo zinawafanya wasifanikiwe
hata wafanyaje...

hizi ni baadhi ya tabia hizo...


1. kutokupokea simu unapohitajika....
watu wengi wana shida sana na matumizi ya simu
unapiga wee ..hadi una ghairi....

2.kuajiri ndugu kwenye biashara....hili nalo
ni kero kuubwa...ndugu wengi hawana uchungu na biashara
wanajifayia tu..mwisho wanakufukuzia wateja

3.Kuzoeana sana na wateja hadi wanakuwa marafiki
wanakuonea aibu kukukosoa kama huduma au service sio nzuri
wanakukimbia kimya kimya

4.kujiwekea bei unayotaka bila kuangalia soko...
hili nalo linakwamisha biashara nyiingi....

5. kuwatazama watu kwa macho na kudhani wengine sio wateja...
mteja yeyote yule akija kwenye biashara yako mpe thamani yake
usije mtazama mtu ukadhani tu ni 'mpita njia'...utakimbiza wateja...

na zingine ntaongezea baadae
 
H

Hwasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Messages
1,275
Likes
647
Points
280
H

Hwasha

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2015
1,275 647 280
Asante mkuu naona hizi ulizoweka ni mpya kabisa hazijawahi elezewa mahala pengine.
Nimelipenda andiko hili lina akisi hali halisi ya maisha ya mtaani na si vitabuni anayetaka kufanikiwa na yupo hatua za awali asilipuuze.Hii ni shule halisi nje ya darasa wala upuuzi wa siasa.
 
K

kwekwelah

Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
5
Likes
5
Points
5
Age
28
K

kwekwelah

Member
Joined Dec 4, 2016
5 5 5
Ya pili umekosea huwa ni usemi ttu ambao upo,lakini ukitumia ndugu ni bora zaidi,jarbu kuangalia biashara za wahindi,waarabu na baadhi ya makabila hapa bongo kama wakinga,wachaga na n.k
 
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2010
Messages
1,716
Likes
2,620
Points
280
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2010
1,716 2,620 280
Ya pili umekosea huwa ni usemi ttu ambao upo,lakini ukitumia ndugu ni bora zaidi,jarbu kuangalia biashara za wahindi,waarabu na baadhi ya makabila hapa bongo kama wakinga,wachaga na n.k
Nafikiri mkuu kosa kubwa la ndugu kwenye biashara yako ni kumtumia bila malipo, au kwa malipo madogo.

Hata kama umeajiri ndugu mpe stahiki zake kama mwajiriwa yeyote yule.

Wenzetu wachaga huwa wana makubaliano maalum, kwamba hili duka likifikia hapa au pale halafu lichukue.

Wenzetu wahindi hawafanyi bure, wanalipana vizuri sana na uaminifu ni suala la kwanza.
 
Manchris Jbisd

Manchris Jbisd

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
693
Likes
344
Points
80
Manchris Jbisd

Manchris Jbisd

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
693 344 80
Kingine:
Watu wanatumia faida itakayopatikana badala ya kuweka static kiwango kama mshahara wako.
Let the business own itself. Itumikie badala yenyewe ikutumikie wewe....
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,207
Likes
40,727
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,207 40,727 280
Ni nini kilisababisha kuku wa Kuchi kuuzwa laki5?
 
T

T1986MCK

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
232
Likes
173
Points
60
T

T1986MCK

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
232 173 60
Umenena The Boss. Hasa hapo kwenye nyodo kwenye bihashara. Kuna watu wakianzisha kimradi tu wanajiona wametajirika au ndo wamefanikiwa. Unaenda mfàno dukani mtu kakuangalia tu. Hata karibu hamna. Kibaya zaidi amezungukwa na wengine watoa huduma kama yake na wengine mitaji ishakua kweli. Asante kwa uzi.
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,810
Likes
23,237
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,810 23,237 280
Umenena The Boss. Hasa hapo kwenye nyodo kwenye bihashara. Kuna watu wakianzisha kimradi tu wanajiona wametajirika au ndo wamefanikiwa. Unaenda mfàno dukani mtu kakuangalia tu. Hata karibu hamna. Kibaya zaidi amezungukwa na wengine watoa huduma kama yake na wengine mitaji ishakua kweli. Asante kwa uzi.

Hizi nyodo zinaua mno biashara
mtu mmeshindwana bei...baadae unaamua kununua kwa bei yake
anaamua tu hapokei simu yako
anafikiri bado unabembeleza bei....
mwisho unaamua kununua kwingine
 
gungele

gungele

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
1,668
Likes
1,234
Points
280
Age
34
gungele

gungele

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
1,668 1,234 280
Darasa lako limetisha kama wimbo was Darasa
 
Mr Natafuta

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Messages
1,681
Likes
751
Points
280
Mr Natafuta

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2016
1,681 751 280
Mimi sijui ila sikuwahi kusikia kuwa Kuchi anauzwa laki 5, fafanua mkuu!
nyie watu mnajuwa hilo neno kikwetu ni tusi la ajabu unaweza kataliwa na ukoo kabisa yaani hata siwezi litamka
 

Forum statistics

Threads 1,274,695
Members 490,787
Posts 30,521,528