Habari zenu wadau ......
Heri ya mwaka mpyaaaa...
Naomba kujuzwa na mtu mwenye uelewa kuwa wakala wa kuuza kwa jumla product za Azam hasa hasa maji na juisi inahitaji nini na nini na mtaji wa...
Habari wadau..
Nimeguswa sana kupata humu jamvini mentor wa kilimo, ufugaji na sasa forex bwana ontario..Pia kina Makirita amani anatoaga thread nzuri sana humu..
Sio personal wadau ni mimi tu...
Salaam sana wanajf
Naomba msaada wa maelezokuhusu mifuko ya jamiiya LAPF NA PSPF ili niweze kufanya maamuzi katika masuala yafuatayo:
1. Kuna tofauti ipi katika makato na mapato "benefits" kati...
Hit me up, for the best rates for Bid Bonds, Performance bonds and Advance Payment Guarantees for those that tender for government jobs or better yet if you are a Banker in the trade finance...
AUS200
Dominant bias: Bearish
On this market, a bearish signal was generated last month, when the market lost over 23,000 points. This has resulted in a Bearish Confirmation Pattern, as this...
BILA shaka ukiulizwa leo kama unataka kuwa tajiri, jibu lako litakuwa ni NDIYO! Lakini je, tunaelewa maana ya utajiri na namna ya kuwa tajiri? Hili ni swali ambalo majibu yake yanawasumbua wengi...
haiwezekani Nitume Hela Kabla Ya Kupewa Mzingo, Na Mwenye Mzigo Najua Hawezi Kunitumia Bila Ya Kumtumia Hela Kwanza,
Sasa Hapo Nani Aibiwe??? Mi Sina Uhakika Kabisa Na Hizi Biashara Za...
Hi wanabodi hamjambo,
Ndani ya mwezi mmoja toka sahii natarajia kufungua nite club ambayo itatarget watu wa hali ya kati na juu..
Naomba wenye uzoefu wanipe experience yakurun hii biznez, wateja...
Wakuu, Habari,
Leo nlikuwa napitia kwenye Ukuraasa wa Vodacom, nikakuta wameandika mambo mazuri kusu haya mambo ya hisa, nikaona si vibaya kushirikisha.
Hapa chini ndicho walichoandika;
=> Bila...
Habari wadau JF,
Nimefikiria kuanzisha mradi wa kusaga, kukoboa na kupack unga na mchele ili niweze kuuza kwa watumiaji wa maeneo yote. Nilitembelea Supermarket moja nikaona namna vifungashio...
Natafuta mfanyabiashara tushirikiane kwenye bar na restaurant yangu pale daraja la Kigamboni. Imekamilika kwa kiasi cha 85%. Ipo kwenye barabara kuu kama hatua 100 baada ya sehemu ya kulipia...
CRDB divident per share shs 10. huku benki ni ya pili kwa ukubwa
nchini. TOL ndio usiseme. tangu waingie DSE kwa prospectus ya kubuni hawajawahi kutoa gawio la hisa. wakurugenzi na management ndio...
Ukinunua kifurushi cha Vodaco mathslani Haliishi bundle 5000 unaambiwa kuwa una dakika 125 Voda-Voda na dakika 10 mitandao yote. Lakini cha ajabu utapiga simu za voda na dakika zitakazotumika ni...
★"TUPATE SHULE KIDOGO"★
Kati ya sifa kubwa unayotakiwa kuwa nayo ili uweze kufanikiwa kimaisha ni uwezo wako wa kughairisha (suspend) mambo yanayokupa raha kwa muda mfupi ili kujenga mambo...
Wakuu,
Naona bei za magari ya Toyota siku hizi zimepanda bei huku UK sasa nafikiria kununua walau Hyundai au Honda naona afadhali kidogo. Je spare za Hyundai na Honda zinapatikana Dar jamani...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair consolidated in the first few days of last week, and then went slightly upwards. On Friday, price closed above...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bullish
Gold began the current bullish movement on May 9, 2017 forming a bullish bias on the market. Price is currently above the support level at 1270.00, going...
Ndugu,
naomba kufahamu juu ya hawa madalali wa Hisa. Nahitaji kuwekeza katika soko la Hisa. Information zote nimefuatilia na mpaka sasa nimebakiza hii moja. Ni company gan inasifa nzuri kati ya...