Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu, hivi kuna utaratibu wowote wa kuanzisha ranch kisheria? Na vp vitu muhimu vinahitajika kwa ajili ya kuanzisha ranch binafsi, je kuna changamoto zozote katika huo mradi? Ushauri wenu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Saruji (cement) imepanda ghafla hadi kufikia 12,500 kwa mfuko wa kilo 50. Wiki 2 zilizopita, bei ya saruji ilikuwa 9700 kwa mfuko. Wafanyabiashara wamekuwa wakihusishwa kupanda kwa bei na...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Kichwa cha thread chahusika. Kazi: Kukaanga chips kavu, Chips Mayai, Chips Kuku, Chips Samaki na kutengeneza Kachumbari. Muda: Kuanzia saa 2 Asubuhi mpaka Saa 5 Usiku. Siku zote za wiki. Siku ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada: najaribu kununua kitu ebay kutoka uk kila ninapo click buy now napata jibu This item does not ship to Tanzania. mwenye kujua namna ya kutatua anielekeze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
‘App’ hii imelenga kuwasaidia watumiaji wake kupata taarifa muhimu kuhusu hoteli, usafiri, sehemu za vivutio, klabu, kasino, maduka makubwa, ubalozi na hospitali. Dar es Salaam. Kampuni ya simu...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Habari zenu wapendwa! Nataka nifungue stationary, sasa naomba ushauri wenu hasa wa vifaa na bei zake. Pamoja na faida zake. Asante ......
0 Reactions
6 Replies
3K Views
#OneCoin* OneCoin ni Cryptocurrency au Digital Currency. Ni fedha ambayo ipo kwenye mfumo wa digitali na si wa sarafu au noti inayoshikika. Ni fedha ambayo itatumika dunia nzima muda mfupi ujao...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
SERIKALI ZALENDO ILIPASWA IELEZE WATZ NAMNA IMEJIANDAA KUJITOA KTK MASHIRIKA KANDAMIZI KAMA IMF (International Monetary Fund) Ambao wamekuwa wakiendesha sera na uchumi wetu ktk njia ya kunufaisha...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Ubinasifishaji hauko kwenye Madin tu bali hata kwa sisi. Kama una muda na hauna kazi nao unapo fanya kazi kwa mwingine maana yake umembinasifishia muda wako. Hivyo ukiajiriwa maana yake wewe huna...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Samahani ninaomba kuuliza kama PayPal hairuhusu mtu wa Tanzania kutoa pesa katika account ya PayPal nitatumia njia ipi ili nijipatie kipato kama nahitaji kuwa blogger au kutumia njia nyingine ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Raisi Magufuli ametoa kauli kwamba piga ua VAT kwenye utalii itakuwapo. Kaenda mbali kwa kusema ni afadhali kuwa na watalii wachache wenye kulipa VAT kuliko wengi wasiolipa VAT! Namheshimu sana...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa. Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania. Je...
5 Reactions
353 Replies
53K Views
Napenda kuwashirikisha ndg zangu juu ya mpango wangu wa kufungua kiwanda cha maji ya kunywa.nataka kufahamu juu mahitaji ya na vifaa muhimu kwa wale wote amabao wanafahamu najuu ya soko.kuhusu...
3 Reactions
9 Replies
11K Views
Wakuu poleni na majukumu; Nahitaji kufahamu gharama ya mitambo ya kutengeneza chupa za maji na zile za kuchuja, na mambo mengine yanayohusiana na utengenezaji wa maji special. Nahitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natanguliza salamu kwa wakuu wote, kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kwa wakubwa humu jamvini wanaofahamu bei ya bajaj ikiwa mpya kwa hapo Dar na hata kama ni mikoa ya jirani. Yeye anaihitaji...
1 Reactions
12 Replies
18K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair has been going upwards since June 27, and the bullishness has been maintained. Price also went upwards last...
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Habari wanajukwaa, waliohudhuria hii kitu hapa chini tunaomba watupe updates kwani wengine tulikuwa mbali, je yapi yalifanyika? TAARIFA KWA VIJANA Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Nina kiasi kama sh mil2 hivi, nilikua nina mpango wa kufanya biashara ya bodaboda lakini kuna rafiki yangu wa karibu tu ameniambia kwamba mama yake ana kiwanja anakiuza kipo maeneo ya...
4 Reactions
82 Replies
16K Views
Habari wanajamvi, Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku. Mtaji wangu ni...
1 Reactions
44 Replies
27K Views
Nimeangalia,kutathimini na kujihusisha kwenye biashara mbalimbali, nimeona changamoto ya kila biashara ambayo nimekua nikiifanya,hivyo nataka kuangaza tena kwenye biashara ambazo zinaweza kufanywa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom