Bei ya bajaj

PingPong

JF-Expert Member
Dec 21, 2008
926
160
Natanguliza salamu kwa wakuu wote, kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kwa wakubwa humu jamvini wanaofahamu bei ya bajaj ikiwa mpya kwa hapo Dar na hata kama ni mikoa ya jirani. Yeye anaihitaji kwa ajili ya masuala ya biashara(kubeba abiria), so naomba kama kuna yeyeto mwenye kulifahamu hilo amsaidie huyu mwenzetu aweze kufanikisha malengo yake, shukran!
 
Mara ya mwisho kuwa interested na bei ya bajaj (kama mwaka umepita sasa) zilikuwa zinauzwa milioni 4 na nusu hivi. Jaribu kupiga number hizi: +255 717 993 993 au +255 714 033 265, nadhani wapo Nyerere Road hapa Dar es Salaam.
 
nadhani kaka yetu anayesema kuwa Bajaj zinauzwa shs hamsini elfu hakuelewa na hakujua jinsi ya kuzitofautisha.Alimaanisha maybe Baiskeli za mtumba. lakini Bajaj zinarange ya 4M to 5m
 
Kwa mbeya ni 7.2 million ikiwa na bima ya mwaka.

Sent from my Infinix-X552 using JamiiForums mobile app
 
Bei za bajaji zinaanzia milioni 5 hadi milioni 7.2 (TVS ni millioni 7 hadi 7.2 bei ya dukani). Pia kuna gharama nyingine kama bima n.k ambazo zinaweza kufika jumla ya shilingi 500,000/=. Hivyo ukinunua Bajaji mpya dukani kwa bei ya shilingi milioni 7.2 jiandae kuongeza laki tano za ziada kwa ajili ya kushughulikia gharama mbalimbali hadi Bajaji inakaa barabarani inaweza kulimgharimu milioni 7.8

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom