Njia ipi ni rahisi kwa kujipatia pesa halali kwenye mitandao?

timothy harun

New Member
Jul 12, 2017
3
0
Nimeangalia,kutathimini na kujihusisha kwenye biashara mbalimbali, nimeona changamoto ya kila biashara ambayo nimekua nikiifanya,hivyo nataka kuangaza tena kwenye biashara ambazo zinaweza kufanywa na kujipatia pesa za kukidhi mahitaji ya kila siku,lakini nimeshindwa nianzie wapi wapendwa wangu kama kuna mtu aliye na upeo na mambo ya mtandao ambayo yanaweza kumuweka mtu katika position zuri ya kipesa! naomba kusaidiwa kwa hilo

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Wewe una taaluma (experience) na kitu gani?
Unaweza kutumia experience yako ikakuingizia pesa.

Ila sikushauri kutafuta njia rahisi. Manake hakuna. Na atakayekwambia kuwa ipo huyo ni muongozo.
 
Nimeangalia,kutathimini na kujihusisha kwenye biashara mbalimbali, nimeona changamoto ya kila biashara ambayo nimekua nikiifanya,hivyo nataka kuangaza tena kwenye biashara ambazo zinaweza kufanywa na kujipatia pesa za kukidhi mahitaji ya kila siku,lakini nimeshindwa nianzie wapi wapendwa wangu kama kuna mtu aliye na upeo na mambo ya mtandao ambayo yanaweza kumuweka mtu katika position zuri ya kipesa! naomba kusaidiwa kwa hilo

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
kuwa blogger sema jaribu kuwa unique angalia una kipaji gani basi blog yako ideal na talent yako
 
Mtandao upi Mkuu au ule 071

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
 
Back
Top Bottom