Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu wana JF, natumai hamjambo! Naomba mnisaidie wapi naweza kupata miti ya matunda yafuatayo? Nahitaji angalau miti miwili katika kila aina. Nahitaji mnisaidie kunielekeza nitakapozipata...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD is bullish in the long-term and bearish in the short-term. Price went upwards on Monday and Tuesday, testing the...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Baada ya tukio la wiki iliyopita kutokea kwa vijana zaidi ya 56,000 waliokuwa wakipambana kupata ajira 400 tu zilizokuwa zikitangazwa, kumetokea na kundi la ambalo binafsi nawaona kama watu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni wa ndugu leo napanda jukwaani kujadili jambo moja ambalo linanipa tabu sana viongozi wetu wamekua wakiamasisha kilimo kila siku lakini wameshindwa kuwatafutia soko wakulima wake...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Habari zenu wakuu, Leo kwa mara ya kwanza niliamua kutumia hii huduma ya Premium katika kupost tangazo langu. huwa napost vitu vingi na kuviuza kupatana but huwa natumia ile ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii. Nimeanza maandalizi ya kufungua mradi wa usambazaji wa maziwa fresh kutoka kwa wakulima hadi kwa walaji hapa mujini. Natafuta storage facilities namaanisha tenki la ujazo wa...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Husika na kichwa cha Habari hapo juu, Natafuta mkopo wa haraka haraka, natafuta kiasi cha laki na nusu tu nitarejesha baada ya wiki mbili. Tafadhali naomba kusaidiwa. Yesu Anaponya.
0 Reactions
21 Replies
10K Views
polen na kazi wana jf,niende kwenye maada hivi ni kweli serikali yetu imeshindwa kulipa billion 80 ili tuchukue bombardier yetu,najaribu kutafakari vyanzo vyote vya uchumi Tuanze na VAT Vocha ya...
1 Reactions
0 Replies
833 Views
Nchi ina mambo ya ajabu hii! Watu wa LAPF wanatoa fao la kujitoa, wengine akina PPF wanazuia pesa za watu. Vyombo vyote hivi viko chini ya SSRA, chombo kinachosimamia na kudhibiti mifuko hii...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Wana JF Katika pitapita yangu nikakutana na waheshimiwa wa wakala wa ujenzi na vigae vya kuezekea nyumba. Vigae hivi ni bei nafuu na inawezekana vikawa mkombozi kwa mtanzania, kigae kimoja ni sh...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano popote pale ulipo kuwasiliana na jamaa au ndugu kwa kikazi pia. Swala langu ni kwa nini iwe rahisi kupiga simu Kenya kutoka Uk kuliko Tanzania? Utakuta bei...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha biashara ya kuuza vyakukula vya mifugo naomba mnitumie aina ya vyakula mnavyovifahamu na bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba Kwa sasa hari ya kibiashara sio nzuri sana na hii inasababishwa na mambo mengi mni mengine tunayajua na mengine tunaweza kuwa hatuyajui kabisa. Kuna Biashara nyingi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimeagiza mzigo toka mwezi wa 6 mpaka sasa na yamebaki masaa kadhaa tu purchase protection iwe end sasa nataka nifungue dispute wakuu Jee watanirefund? Na pia wanataka niapload picha ya ushahidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Business rent sharing idea.. Natafuta mtu anaefanya biashara yeyote isiyo na usumbufu wa harufu au kelele… wa kushare nae kodi ya space tutakapofanyia biashara na kufanya separations … ( this...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Ulivyo sasa hivi ni matokeo ya kile unacho waza au unacho fanya.Ulivyo sasa ni uwekezaji ulio ufanya kichaani mwako. Sasa swali je kwenye akili zako kuna uwekezaji gani? Unawaza nini akilini...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimewaza sana kutafuta ufadhili wa kampuni yoyote ili inijengee hostels za kisasa zenye vyumba hamsini lakini nimeona ni vyema nilete wazo langu hapa na baada ya hapo ndo nichukue maamuzi, malipo...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa sasa mtaani kumekuwa na shida kubwa juu ya hawa ndugu zetu wachina kwani wanachofanya mitaani si sawa hasa kwa vijana na watoto walio chini ya umri wa miaka kumi na nane , wanasambaza mashine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nini mtazamo wako baada ya kutazama madini haya? Mimi nadhani inaweza kuwa Diamond au Moissanite nipe mtazamo wako. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Najua huku kuna wataalamu wa mambo ya fedha. Naomba usharui nataka kufungua account ya fedha ya kigeni husasani Sterling Pound (£) na vile vile nataka niwe nahamishia fedha kwenye e-wallet kama...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom