Unaweza kuwa na zana bora ya AI, lakini bado ukatengeneza video zisizovutia. Tatizo si lazima liwe teknolojia unayotumia, bali namna unavyoielekeza.
Gemini AI Pro inaweza kukusaidia katika...
Stori hii nimeikopi X.
Mwaka jana niliendaga kijiji kwetu nikakuta Bibi yangu anauza gunia la maparachichi 30,000 nikapiga hesabu nikileta Dar napata faida zaidi ya 200,000
Kwa mtaji wa 3.5M...
Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo...
Hello everyone,
I have been using CT Pool for 2 weeks and I like it.
It's a cloud mining app. You don't need to buy a machine or pay for electricity. They give you a free Pool Miner when you...
Kikosi cha FAST Bukoba kimefanikiwa kukamata madumu 62 ya Ethanol, yenye ujazo wa lita 20 kila moja, sawa na jumla ya lita 1,240 za Ethanol, pamoja na mifuko miwili ya sukari. Mizigo hiyo...
Jamani mimi ningewekeza kwenye mashirika ambayo yanadeal na masuala ya msingi kama Maji na Nishati maana ni lazima hivyo vitu vitumike na wananchi wa kawaida kwa hiyo faida yake ni ya uhakika...
Asema wingi wa mavuno ulete maisha bora kwa wakulima
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mafanikio ya mageuzi ya kilimo yanapaswa kupimwa kwa ongezeko la kipato na ustawi wa wakulima na...
Kama unapenda kuandika hadithi, kuna fursa ambayo huenda bado hujaijua vizuri: Pocket FM.
Pocket FM ni jukwaa la audio stories ambapo wasikilizaji husikiliza hadithi zinazotolewa kwa mfumo wa...
Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ina fursa nyingi za uwekezaji kwenye kilimo na akawataka wenye mitaji waje kuwekeza Tanzania ambapo wataweza kufikia soko la watu milioni 170...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuhakikisha ndani ya miezi sita inatengeneza na kukamilisha sera ambayo...
“Watu waliona ukumbi wa kawaida, lakini mimi niliona fursa ya kujenga biashara kubwa.”
Hii ni simulizi ya mfano ya Ahmed, kijana aliyekuwa na ndoto ya kujiajiri kupitia biashara ya kukodisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.