Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,450
- 5,125
Stori hii nimeikopi X.
Mwaka jana niliendaga kijiji kwetu nikakuta Bibi yangu anauza gunia la maparachichi 30,000 nikapiga hesabu nikileta Dar napata faida zaidi ya 200,000
Kwa mtaji wa 3.5M faida nikaiona kama 10M hii hapa kwa mwezi nitakuwa na kama 50M+ kwa mwaka 600M+ kweli kuuza simu zinanichelewesha 😂
Tukachangia gari la pamoja, siku ya kupakia mzigo usiku gari ikapindukia kwenye ukingo wa mlima kijijini ndani hakuna lami na mvua inanyesha balaa mpaka kukucha asubuhi wa kureplace gari hawana option nyingine
Mpaka siku ya pili maparachichi yanaanza kuiva hakuna msaada, kilichoniuma zaidi gari limepindukia kwenye kijiji chenye miti mingi ya maparachichi hata uuze bei ya hasara hupati mteja, hata iwaitie Wanafunzi uyagawe bure pia hawataki.