VIwanja vya Sabasaba iwe ni eneo ambako bidhaa za madini yetu kama mikufu, heleni, bangili na pete vinavyotokana na madini yetu vinauzwa kwa wingi na kwa bei nafuu.
Kama tutafanya hivyo...
Habari wana jukwaa,naomba mnipokee mimi ni mgeni humu nilikuwa guest member kwa miezi miwili kabla ya kujiunga rasmi hii leo,naombeni ushirikiano wenu nauza Accesories mbalimbali classic pamoja na...
Je, unajua kuwa biashara ya mbao na samani inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato ukiifanya kwa mipango sahihi?
Kadiri watu wanavyojenga nyumba, kufungua ofisi na kuboresha makazi yao, ndivyo...
"
Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi...
BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA
Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo...
Sijui Ni Nani Atakaesoma Hii Thread. Ila Nategemea Kama Mtu Ni Mfanyabiashara basi ataweza Kunielewa Vyema Kile Ninachokipitia.
Sifa Kubwa ya Biashara Yoyote ile na Ustawi Wake ni Uaminifu...
Habar wakubwa!
Nnataka kuanzisha Duka la kuuza nguo za watoto(Wakiume na wakike) kwa jumla mkoan lindi.
So nlitaka kupewa connection ya agents wanaoleta nguo hzo za watoto toka nje ya nchi.
1. UTANGULIZI
Katika soko la hisa, kufanya uamuzi wa kununua au kuuza hisa ni hatua moja tu ya uwekezaji. Mwekezaji anahitaji pia kuelewa kinachoendelea baada ya kuweka oda yake ya ununuzi au...
Hua sielewi dhamani ya dhahabu kua kubwa duniani na kuheshimika kuliko madini yoyote hasa SERIKALI za duniani kutumia na kuamini kua ndio mkombozi,mbadala na kinga ya msukosuko wa uchumi dunia
Hakuna biashara duniani inayoweza kugeuza maisha ya mtu kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuwa bilionea ndani ya masaa 24 kama biashara haramu ya dawa za kulevya (Ubwabwa/Unga). Lakini nyuma ya...
Dunia ya sarafu za kidijitali imeingia kwenye taharuki kufuatia madai ya shambulizi kubwa la kimtandao dhidi ya Binance, inayotajwa kuwa mojawapo ya majukwaa makubwa zaidi ya biashara ya crypto...
Ni habari nazozipata kutoka chanzo cha kuaminika kisicho na shaka hata kidogo
Jirani tunachekeana lakini chuki aliyonayo kwangu ni kubwa.
Na mimi nimewahi kupata ushindani mkali kiasi kwamba...
Wakuu a-saamu aleykum...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mpango wa kuwekeza kwenye biashara ya bodaboda. Nipeni ushauri, aina gani ya pikipiki ni nzuri, ntapataje dereva na kwa siku...
Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee...
Soko la kariakoo ndio soko kubwa Tanzania na afrika mashariki lenye kila aina ya products , zaidi linauza simu za kila aina .
Maelfu kwa maelfu ya simu yanauzwa kila siku , lakini ulisha wahi...
Wakuu,
Nimetunza hadi nimefikisha laki 800,000/= hadi sasa na bado najiuliza nifanye biashara gani kulingana na kipato nilicho nacho.
Kazi niliyonayo iliyonipa hiyo 800k bado niko nayo na nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.