“Sikuwa na mtaji mkubwa, lakini nilikuwa na ndoto kubwa ya kuwa na bakery yangu mwenyewe.”
Haya ni maneno ya Aisha, binti aliyekuwa na ndoto ya kujiajiri kupitia biashara ya kutengeneza na kuuza...
Wafanyabiashara wa kigeni wanaotuhumiwa kukiuka vizuizi vya Tanzania vinavyowazuia raia wa kigeni kuendesha baadhi ya biashara, wanadaiwa kubadilisha mbinu ili kuendelea kubaki katika soko lenye...
Wasalaam,
WanaJF wote.
Baada ya kuwa mwanaJF mtamazaji kwa muda wa miaka 8 hatimaye nimeamua kujisajili rasmi ili kuwa mwanachama hai ili nami niweze kuleta fikra zangu ambazo huenda zikawa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi,amewaasa vijana kwa kuwaambia kwamba wazo linalozaliwa leo kwenye fikra za kijana wa kitanzania linaweza kuwa kampuni...
Habari zeni Wakuu
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza unga wa nafaka kama mahindi, ulezi na aina nyingine za unga unaotumika majumbani.
Nia yangu ni kuanza kwa kiwango kidogo, kujenga...
Viwanja vinauzwa
location; Vikawe, njia ya kwenda kibaha tamco, 4 km kutoka baobab secondary
bei: 30,000 tzs kwa sqm
malipo cash na installment
kuanzia sqm 400-700
vimepimwa
0796171467
NINATENGENEZA
1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned
Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea kazi yako
2. Project Proposal & Grant...
Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana...
HABARI MIMI NI KIJANA NIPO DAR NI DEREVA MZOEFU NA WA MUDA MREFU (4yr). NATAFUTA KAZI YA UDEREVA WA KAMPUNI AU MTU BINAFSI/FAMILIA PIA KAMA YUPO MWENYE GARI NDOGO/ALPHARD ANAWEZA KUNIPA...
Naomba kujua hawa watu wanao unga bando za halotel wanapata wapi kibali au wanawezaje ?maana naona siku hizi watu wengi wamekuwa mawakala wakuunga hizi bando za halotel mfano
GB 5 = sh 5000
GB 10=...
Ilikuwa ikiniingizia 200,000 kwa siku kwa kuuza bia Zaidi ya 2000.. Mganga kaniambia niifunge ili nijue mbaya wangu nani katika biashara...
Karibu nafanikiwa...
Ila JF member usifunge biashara...
Kuna mfanyabiashara mmoja alianza biashara ya mazao ya kilimo akiwa na mtaji mdogo. Alikuwa akinunua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sokoni. Mwaka wa kwanza alipata hasara kubwa, si kwa...
Shamba lipo Msaanga near by chamwino ikulu, Heka 1 ni 3.6m zilo hekari 40 ,kama unaifaham kampuni yoyote au mtu binafsi anatafuta shamba maeneo hayo naomba tuwasikiane zipo heka 40...
Watu wengi wanafikiri kufungua duka la dawa za mifugo ni kununua dawa, kuzipanga kwenye shelf na kusubiri wateja. Ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji maarifa, mipango na uaminifu ili iweze...
Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kumkwamua mjasiriamli katika kutengeneza bidhaa mbalimbali za ujasiriamali itumie kujigunza kunatengeneza bila kufundishwa.
Kupitia program maalumu ya mafunzo...
Wakuu
Pamoja na wadau mbalimbali ushauri wenu nataka kujiingiza kwenye hii kazi ya uchimbaji dhahabu mtaji nina Milioni 5
Location bado sijafikiria sana ila nimewaza nitatafute mashine ndogo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.