Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Section 54 (1) of the Tax Administration Act, Cap 438 (R.E 2023) requires entities engaged in the extractive and construction industry to disclose names of person contracted or subcontracted for...
1 Reactions
1 Replies
976 Views
Habari, NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa...
34 Reactions
270 Replies
8K Views
  • Redirect
Nahitaji mihogo mikavu (makopa), maharage ya soya (soya beans) na pilipili kavu. Mwenye supply ya uhakika angalau tani mbili kwa mwezi kwa kila zao tuwasiliane whatsapp 0789904445
0 Reactions
– Replies
– Views
PLAIN TSHIRTS 260 gsm ✅ Bei: TSh 15,000 tu! ✅ Sizes: L, XL, XXL hadi 3XL , Rangi mbalimbali zinapatikana Delivery in Dodoma. 0745 028 158
2 Reactions
7 Replies
213 Views
Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS, Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande. Kipindi...
18 Reactions
65 Replies
7K Views
Habari, Sisi Avocado Exporter tuko na changamoto ya muda mrefu sana. TRA Custom office Makambako wana charge kiasi cha TZS 150,000 per Container kwa ajili ya kufungiwa export seal kwa transit...
7 Reactions
11 Replies
449 Views
Je, jina la biashara yako haliendani tena na malengo yako? Au unataka jina jipya litakalowavutia zaidi wateja? HABARI NJEMA! UNAWEZA KUBADILISHA JINA LA BIASHARA YAKO. Kupitia taratibu za BRELA...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA. ZIFAHAMU...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
🚀 BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU! Boresha usimamizi wa biashara yako kwa mifumo ya kisasa, rahisi kutumia na inayokupa matokeo. ✅ Punguza kazi za mikono na matumizi ya daftari. ✅ Achana na...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Baba alikopa fedha benki kwa kuweka boma lake kama dhamana, lakini alishindwa kulipa deni lote. Kutokana na hali hiyo, benki ilichukua hatua ya kuuza boma hilo, lakini liliuzwa kwa bei ya chini...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, wana-JamiiForums! Nauza simu za aina mbalimbali kama iPhone, Samsung, Google Pixel, Sony Xperia, Sharp Aquos na nyingine nyingi. Used na Box Kama unatafuta simu nzuri kwa bei...
1 Reactions
5 Replies
509 Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Je, kuiga na kufanya biashara zinazofanana ni kukosa ubunifu?
3 Reactions
10 Replies
274 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Judith Kapinga, ameitaja Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuwa mdau muhimu katika juhudi za Serikali za kuongeza thamani ya mazao...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Anonymous
NMB KUNA CHANGAMOTO ZA KUKATA PESA ZA WATEJA BILA TAARIFA WAMEKATA KIASI CHA 180K BILA TAARIFA KAMILI Balansi yangu ilikuwa Shilingi 720,000 lakini asubuhi yake nilipocheki ili niweze kutoa...
4 Reactions
10 Replies
546 Views
Habari wana Jamii forum. Nauza ofisi yangu ya Juisi na Bites ipo Dar kijichi. Kodi ya frem bado haijaisha. Bei ni 2M Ofisi Ina vitu vifwatavyo: 1. Freezer 200L 2. Blender na jagi 3. Mashine ya...
5 Reactions
6 Replies
278 Views
Leo tujadili biashara za kariakoo zilivyo sasa kutokana na ushindani wa bei kutoka kwa wazawa na wageni Tujadili ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa bilioni 1 inaweza kuleta faida ya...
1 Reactions
9 Replies
382 Views
Habari, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya...
4 Reactions
56 Replies
44K Views
Kuna mfanyabiashara alifungua restaurant sehemu yenye watu wengi. Alinunua viti vizuri, meza za kisasa na kuajiri wapishi wazuri. Mwezi wa kwanza wateja walikuwa wengi, lakini baada ya miezi...
2 Reactions
2 Replies
271 Views
Back
Top Bottom