Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

*Habari wakuu, Tunatafuta business partner(s) atakayeweza kutoa/kuwekeza angalau 2-2.5 million katika project ya mkaa* *Raw materials za kuzalisha mkaa huu ni takataka aina zote kasoro...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutokana na umaskini imefikia hatua ukitaka Mtanzania akuskilize na kufata yako mueleze iko fursa ya kupata/kuvuna hela kwa mafankio makubwa sehemu fulani yani kwenye biashara nk. Mueleze kile...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Jaman habari zenu, samahan je kuna ukweli kwamba kuna pesa za kijeluman mfano lupiah zinatafutwa? na kama kwel ni nan anae nunua natanguliza shukran zenu, matus sio uungwana Dsk
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Moja ya makosa makubwa tunayo fanya ni ku quit biashara. How come umehangaika labda ulikuwa hulali, ulikuwa unashinda njaa kisa biashara yako. Kuna wakati hata muda wa kusalimia ndugu hukuwa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Moja ya ishara ya wewe kuelekea pabaya ni kuongezeka idadi ya marafiki ambao wanamawazo mabovu, hawana maono, hawajali kuhusu jamii,hawaheshimu wazazi au hawapendi kujifunza mambo ya kuwajenga ...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wengi wanashindwa kuwa na ufanisi kwasababu ya matumizi mabaya ya muda. Hata hivyo kila binadamu ana masaa 24, siku 7 kila wiki na miezi 12 kwa mwaka. Tafiti za matumizi ya muda zinaonyesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam. Watu wa rangi zote wananunua. Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana...
48 Reactions
71 Replies
10K Views
Nsemwa Company Limited, located at Tegeta DSM offers the following services at very competitive prices; ENVIRONMENTAL PROJECTS: Environmental Impact Assessment Water Resource Modelling Waste...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Wakuu Leo na Mimi ngoja niongee kidogo. Umaskini ni kitu kibaya sana duniani.Umaskini unasababisha kumkufuru mwenyezi mungu mara kwa mara,hata kwenye vitabu vya mungu umaskini umepigwa vita...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo Habari zenu Wakuu. Nahitaji msaada wenu juu ya bei ya sasa ya kulangulisha vitunguu swaumu sokoni Kariakoo kwa kilo moja. Au kama kuna mdau ana namba ya simu ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vp washikaji? Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa...
1 Reactions
72 Replies
25K Views
Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western...
3 Reactions
91 Replies
14K Views
  • Closed
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi hicho anisaidie dhamana ni simu smartphone, na vitambulisho vyangu pamoja na vyeti. Napatikana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa ndungu wana jf kama kuna uwezekamo mtu wa saudi arabia kutuma hela mpesa tz au kama kuna njia nyingine nzuri ya kupokea hela kwenye kutoka saudi naombeni kujuzwa juu ya hilo
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The pair has been going southward since September 25, having lost about 200 pips. Price moved briefly below the support...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Tunatoa huduma ya outside catering kwenye harusi, kitchen party,birthday,semina,Graduation nk. Sahani moja ni 15000 hadi 18000 unapata startet ambapo kunakuwa na soup,main course kuku wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Juzi familia yangu tumebahatika kununua gari aina ya noah ilikuwa inamilikiwa kama private kibao cha njano, lakini sasa tumeibadiri umiliki na sasa ipo cormecial kwaajili ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikiwa Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation yenye ofisi mkoa wa Dodoma wilaya ya Dodoma mjini,,, Inajihusisha uhamasishaji wa masuala mbalimbali ya...
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Benard Kibese ametoa ufafanuzi juu ya hali ya ukuaji wa uchumi wa Taifa unaodaiwa kutoakisi hali ya maisha akieleza kuwa unakua kutokana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta mfadhili/ mhisani au mwekezaji. Mimi nikiwa kama Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation yenye ofisi Dodoma mjini tunahitaji mhisani/mfadhili au...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…