Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu tubadilishane mawazo hapa Tusio na mitaji huwa tunakuwa na mawazo mazuri sana ya kibiashara. Kwa mfano, mimi napenda sana kuagiza shela za harusi kutoka China na Dubai kwakuwa bei zao zipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama tunavyojua biashara ni matokeo ya kusuluhisha changamoto zinazojitokeza katika maisha ya kila siku Katika changamoto hizi ndipo unapogundua kuna jambo la kufanya kukuingizia kipato. Haya...
9 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari wakuu Kuna mzigo wangu niliununua mtandaoni huko aliexpress nilituma kwa njia ya posta ya CHINA POST ORDINARY SMALL PARKET. Mzigo ulivyotoka nje ya china kuja tz ukawa hautrack...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha uzi huu Kama unauza king'amuzi cha azam completely na dish tafadhali nicheki 0654846084 tufanye biashara. Bajeti yangu ni 80,000
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Habari zenu wadau Hapa ninapofanya kibarua kuna store za bidhaa mbalimbali lakini nyingi miongoni mwazo ni madaftari (counter book). Nimejaribu kumuuliza jamaa ambae anadeal na counter book za...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Imagine running a big business right now. Demand for your product is up. You need a new factory. Should you build now? Should you wait until next year? The year after? That’s not really a...
0 Reactions
2 Replies
555 Views
[emoji12]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu wakuu kwanza Bila kupoteza mda Leo nimeamkia kwenye kutafuta riziki nimekuja kwenye sherehe ya ndoa hapa nikasema nipige pesa Leo Kwa Sana cha ajab sherehe inaanza tu.. Jamaa kachukua...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Leo ni siku nyingine, na mada nyingine mezani. Katika Maisha yetu naamini tumewahi kukaa na wazee ama watu waliotuzidi umri ambao wametusimulia mengi yaliyotokea kwenye maisha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Salute wakuu, hope harakati zinaenda ipasavyo. Straight to the point, kuna idea hii ya ecommerce website kwa tz, nmekua nikiifikiria sana na sasa nimeamua kuifanya. Looking at tz, naona giants...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari ya leo wakuu? Samahani,siku za nyuma nilipost thread ya kutafuta kazi au kibarua sikuweza kufanikiwa ila kuna eneo la biashara ya jikoni nimelipata na pako vizuri sana,aliye kuwepo mwanzo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Niko najaribu kuwaza tu kwanini ushirika ulikufa yawezekana sababu zipo, lakini zikawa hazina mashiko sana. Tufanye nini ili kuinua na kufufua upya vyama vya ushirika vyenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salam wakuu. Ni taasisi /agent/ saccos gani (ukiacha mabenki) naweza kupata mkopo wa TZS 1.000.000 haraka ndani ya siku moja? Hata kama mtu binafsi sawa tu. Nina nyumba.gari. Naomba kujua na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukiskia fursa kwako wewe mfanyabiashara, hii ni yako. Tumia tips hizi kuongeza mauzo/sales katika biashara yako kipindi hiki cha sikukuu. 1. TOA DISCOUNT Kulingana na biashara unayofanya, angalia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ongezeko la gharama za uendeshaji wa benki na masharti mapya ya kodi yaliyowekwa na serikali kwa taasisi za fedha yameathiri yametajwa kuathiri mwenendo wa utoaji mikopo kwa wafanyabiashara...
1 Reactions
1 Replies
959 Views
Kutoka kununua hisa moja tsh 800 imeshuka mpaka tsh 72 haibu nimejuta kununua hisa zenu
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba tudiscuss fursa ambazo mwana chuo anaweza akazitumia awapo chuoni kujitengenezea kipato Karibuni sana wadau na wanajukwaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mm ni kijana wa miaka 22 niko mjini nafanya kazi ya kuajiriwa kwa mtu kwahiyo kila siku inanipasa niamke saa 12 asubuhi na kurudi saa moja usiku Hii kazi nimefanya kama miaka 4 ila naona...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Kama una njia mwanana ya kupunguza nilichokitaja hapo juu unawepa pata promotion nzuri ya kazi eneo mwanana.. Nipe mkakati mzuri wa jinsi ya kufanya hivyo.nikiona unafaa kwa sbb nmekua na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom