Forex Traders Official Threads

Wazo zuri..Forex traders,Treasurers na wengineo karibuni..Ningependa iwe strictly for info,kubadilishana mawazo na kuelimishana pia
 
USDCHF seems bullish on daily charts.

Bavaria

USDCHF.PNG
 
Lets Share; Our Trades, Pips Made, Losses & Profits, Signals, Strategies and Analysis.

This is for Experienced Traders and Newbies.

CC @tallinex, Davion Delmonte Jr.

NB: Naomba Moderators wauweke sticky huu uzi.
Kwanini shilingi yetu inashuka thamani??? Je nataka nunua pesa ya nje ili baadae niuze, je ni nunue pesa ipi???
 
Dah, hii kitu kumbe ilikuwemo humu toka mwaka jana na thread yake ilianzishwa kabisa.? Ila naamini sijachelewa. Nitajiunga humu rasmi baada ya kutoka katika darasa la Ontario. Hope tutakuwa pamoja.
 
Kwa sasa naamini hitahitaji hata msaada wa mods ili iwe sticky,itakuwa active tu
 
Saint Ivuga we hufanyi hii biashara unifundishe
Sio kwa uchumi wa Tanzania.
Labda kama unataga nikuelewesha how it works.

Ila kilichonitokea baada ya kununua hisa za vodacom.

Bora pesa yangu ninge i risk kwenye eneo lingine kuliko huku.

Market yetu ni very unredictable.
Its full of shit. And politicians wana direct effect on it.
 
Sio kwa uchumi wa Tanzania.
Labda kama unataga nikuelewesha how it works.

Ila kilichonitokea baada ya kununua hisa za vodacom.

Bora pesa yangu ninge i risk kwenye eneo lingine kuliko huku.

Market yetu ni very unredictable.
Its full of shit. And politicians wana direct effect on it.
Yah ntakuja unifundishe tu how it works.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom