Hivi ni mkoa gani unaongoza kwa mapato Tanzania?

Ni vizuri mkaambatanisha na vyanzo vya mapato kwa kila mkoa au wilaya au manispaa au jiji!
Kahana kuna nini hasa!? Just curious
 
Wadau mwenye kujua hili tafadhali jiji au mkoa wenye mapato makubwa Tanzania ni upi.
Mkuu hili swali vizur wangejibu TRA maana wenyewe ndio wakusanya mapato, huku wengine tunabwabwaja tuu bila shaka itakuwa chato kama sio itakuwa katavi kwa pinda maaana yule mzee analima saña kwa hiyo anachangia saña pato la tz
 
Back
Top Bottom