lumia21
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 273
- 252
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu Mim ni muhanga wa ajira za serikali.
Nataka hamishia makazi yangu Tabora na kujihusisha na biashara ya matunda mchanganyiko hapo tabora
Kwa wakazi wa Tabora naomben mnipe experience yenu na mji wa Tabora vip nitafanikiwa!??
Koz sio mwenyeji ki hvyo kama kuna mtu yuko read tunaweza partber kwa hiyo idea ya biashara...
Karbun kwa ushaur, ukosoaji na mengineyo.