Nahitaji partnership wa kufanya nae biashara

siyumwe

Senior Member
Apr 10, 2017
153
134
Habari wana ndugu wa jukwaa hili la kuelimishana jinsi gani ya kujikwamua kiuchumi,lengo la kuandika uzi huu ni kumpata mtu ambae nitashirikiana nae katika kuiendeleza biashara yangu ambayo naifanya mda huu na nina uzoefu nayo zaidi ya mwaka mmoja.swali la kujiuliza kwann nahitaji mtu aje kuwekeza kwangu.?
Lengu langu ni kuipanua biashara yangu yani niwe naingiza faida zaidi ya ninavoingiza mda huu najua nikiwa peke yangu nitaweza ila itanichukua mda mrefu mpaka kufikia ninapopahitaji
Swali la pili unaloweza jiuliza je biashara yenyewe ni ipi na ina oparate vipi
Jibu la swali hili ni kua mm na produce bidhaa kuhusu gharama za kuproduce na wateja hilo lisikupe shaka hili nita deal nalo mm mwenyewe
Mtu anaweza akajiuliza faida inapatikana vipi.?
Kwa uzoefu wangu kama ata patikana mtu wa kushirikiana nae kwa wiki naweza nikatengeneza faida ya laki mbili ambapo hapo kila wiki ntakua namtumia au anakuja kuchukua laki moja mpaka pale mkataba wetu utakapoisha
Je nivigezo gani navihitaji ili mtu ashirikiane na mm.?
Kigezo cha kwanza inabidi awe na mtaji usiopungua milioni 1 ambapo hapo ntampa mchanganuo inatumikaje na faida tunaingiza,kigezo cha pili itakua vizuri sana kama atatokea dar
Mimi nipo dar maeneo yategeta kwa ndevu.kwa walio serious karibuni sana kwa maelezo zaidi call au whatsup 0625888090

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingelipendeza zaidi kama ungeliweka wazi ni biashara gani wafanya.
All in all hongera sana..
Samahan kwa kukaa siti ya mtu..
 
Ingelipendeza zaidi kama ungeliweka wazi ni biashara gani wafanya.
All in all hongera sana..
Samahan kwa kukaa siti ya mtu..
Hahah siti ya nan hiyo...anyway hiyo biashara sijaitaja hapo juu na maana yangu ndo mana mwisho nikaweka kwa maelezo zaidi ni call au whatsup 0625888090 na kwa walio dar wanaweza wakani tembelea ninapo fanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama ni biashara halali iweke hadharani utapata watu tuu
 
Back
Top Bottom