Sio lazaima. unaweza ukatumia namba ya simu na mzigo ukifika posta watakupigia simu.Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
oooh thanks kaka nitajaza tu namba ya simu? vp kuhusu posta husika? au mpaka ukifika ndo utaambiwa umefika posta fulani?Sio lazaima. unaweza ukatumia namba ya simu na mzigo ukifika posta watakupigia simu.
Nimeshatumia njia ya simu sana.
Mhimu ni namba ya simu, street na town/city.Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
Sanduku la posta ni muhimu sababu utatumiwa kupitia hilo box.Unaweza tumia Care Of.Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
Ninechukua mizigo kutokea ali express mwezi huu tuu parcel 35...Do 20 na RPD 15..zingine kwanza zilikuja na majina ya mdogo wangu na nikachukua na id yangu bila vya slip za danduku wala lolote sasa hio yako sijui umeongeaje mkuuWakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
watoto wa sikuhiz bwana hata care of hawajui lakini wanataka kuagiza vitu kutoka mashariki ya mbali, huwezi vipata
sasa ulipokelea wap?Ninechukua mizigo kutokea ali express mwezi huu tuu parcel 35...Do 20 na RPD 15..zingine kwanza zilikuja na majina ya mdogo wangu na nikachukua na id yangu bila vya slip za danduku wala lolote sasa hio yako sijui umeongeaje mkuu
Kuhusu posta husika, umesema upo Arusha right?oooh thanks kaka nitajaza tu namba ya simu? vp kuhusu posta husika? au mpaka ukifika ndo utaambiwa umefika posta fulani?
Hawajakuchaji kodi ya hyo mizigo?Ninechukua mizigo kutokea ali express mwezi huu tuu parcel 35...Do 20 na RPD 15..zingine kwanza zilikuja na majina ya mdogo wangu na nikachukua na id yangu bila vya slip za danduku wala lolote sasa hio yako sijui umeongeaje mkuu