Natafuta vijana 200 ambao tutaunda group la Whatsapp kwa commitment ya kuchangia kwa kutuma moja kwa moja kwenye benki husika sh. 50,000 mpaka 84,000 kila mwisho wa mwezi ambazo zitawekwa kwenye...
Habarini za Asubuhi ndugu wote.
Mwenzenu mimi ni Dereva mzoefu wa magari toka mwaka 1996.
Nimekua taxi mani kwa kipindi kirefu sana na mwaka 2009 niliamua kutafuta ajira katika mashirika na...
NICO WALITANGANZA KUTOA GAWIO KWA WAWNAHISA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA 12. KWA KUWA MDA UMEPITA SANA BASI TOENI NAFASI YA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KAMA ACCOUNTS, SIMU ZAO ANUANI MPYA, NA...
Kama unataka kutoka bila kutumia nguvu nyingi sana basi fanya hii biashara. Yani biashara ya kuandaa events kama za harusi za mtaani, maulidi, kipaimara, vigodoro, misiba nk.
Unachotakiwa ni kuwa...
Habari za jioni wakuu na wajasiriamali wa jukwaa hili la Biashara,uchumi na ujasiriamali!
Awali ya yote nimepata tenda Fulani ya kupeleka chakula mgodi Fulani ambapo nimeambiwa kama niko tayari...
Hivi mabenki yanavyofungwa na kufilisika,hii ina tafsiri gani katika uchumi wetu???? Kuna uhusiano gani kati ya uchumi wa nchi na mabenki kufilisika????
Naomba admin usiifute huu Uzi tafadhali,
Kwa hili napenda kuipongeza serikali na kampuni ya cement Dangote, bei ya cement imekua nafuu sana kwa wale wanaojenga wakati huu, najua kwa Dar itakua pungufu zaidi ila sisi wa mji kasoro bahari...
Nipo dar es salaam , ni mwanafunzi wa chuo nahitaji mkopo wa laki 2 ili niongezee ada ya chuo, mwenye kunikopesha naomba anipe vigezo husika,
Naombeni ushirikiano wenu, nimalizie masomo,
Habarini wandungu,
Kuna mdogo wangu huwa anatengeneza bidhaa ndogo ndogo, kama biscuit, karanga za mayai, keki, kashata nk then anapeki vzr, na kuna supermarket moja imeshakubali kupokea bidhaa...
Habari wadau,
Nimegundua kuna watu wana vipaji vya kupiga watu hela, mfano huyu dogo Ontario maana nimesoma thread ambayo dhumuni lake kuu ni kuitangaza bit coin na wenzake apige hela ila kaanzia...
Great thinkers tujadili mawazo ya viwanda vidogo vidogo, vinavyoweza faa hapa Tanzania kwa mazingira ya sasa.
Serikali inahamasisha watanzania tujikite katika eneo hili.. Mimi nataka kuingia...
Kama uzi unavyojieleza. Salam! Wana jf.. Najua Kuna watu wamenizidi umri humu bas shikamooni
Kwanza kabisa mi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa 3 na wa mwisho, nilipanga mwaka wa 3 nianze kufuga...
Welcome Mjasiriamali Desk
This is an excellent resource for connecting with other entrepreneurs or business leaders. Business owners can access information generally about planning, starting, and...
Habari!
Je biashara yako ni ya aina gani?
Je ni biashara ambayo huwezi kuifanya katika muda wote wa mwaka? ikiwa jibu ni NDIYO, basi biashara yako ni ya MSIMU.
Je msimu wa biashara unapokwisha...
Habari za humu ndani,
Juzi kuna jamaa mmoja alinipigia simu na kuniuliza kama ninataka shamba la kupanda mikorosho Lindi kwa bei ya Tsh 20000/=
Mimi nikamwambia yes but sikumwamini.
Je ni kweli...
Wanabodi nilikua naomba kupatiwa kuhusu biashara za nywele za kichwani za kina dada,mwenye uzoefu na India nilikua naomba utupatie taarifa,alieniletea aliniambia amechukua BOMBAY(INDIA) ila...
Natumaini mko buheri wa afya kabisa.
Kila wakati nikiwa naangalia taarifa ya bahari ya ITV huwa naona taarifa ya mifuko ya UTT AMIS na nimekuwa sielewi kwa hakika ni nini hasa.
Mwenye maelezo ya...
Ni mteja wa miaka zaidi ya mitatu wa Vodacom na nimetumia hela yangu nyingi sana kwenye huduma zao hadi nimekuwa mteja wa thamani. Nimekuwa nakopa na kulipa kwa wakati (isipokuwa mara moja tu...
Habari za asubuhi wana Jf.Jana usiku nilishirikishwa kikao cha familia ya Mzee mmoja mstaafu mwalimu wa shule ya msingi wilaya ya Muheza Tanga.
Huyu mzee ni msambaa amepata milioni 77 ana watoto...