Naombeni ushauri; Hii ni mimi mwenyewe inanihusu

mkuu wewe ni mwalimu kisha umeandika hadi nahisi kichwa kinauma sasa hivi . next time tulia upangilie vizuri maneno. maana nashindwa hata kutoa ushauri.
 
mkuu wewe ni mwalimu kisha umeandika hadi nahisi kichwa kinauma sasa hivi . next time tulia upangilie vizuri maneno. maana nashindwa hata kutoa ushauri.
Wapi hujaniekewa mkuu
 
ukitaka kuchangamka, safiri nenda mkoa mpya, usiko na ndugu, beba hela kama 10000 tu, na usibebe nguo, yani, ukaishi maisha ya mtaani, kulala nje, huku ukitafuta dili za kupiga ili upate hela ya kukuweka mjini.
Kidogo unaweza kuchangamka,
Hahhhahaaaahaa wewe Islets cjui umefikiria nini
 
Hahhhahaaaahaa wewe Islets cjui umefikiria nini
mkuu nimefikiria kumchangamsha huyu kijana, dunia ya sasa mwanaume ukiwa mzembe hata kujiamini kunapungua..,
Mtaa ukimchangamsha akilala njaa siku 2 na kunyeshewa mvua ataacha uzembe
 
mi naona haujiamini sababu hakuna kitu kichwani kwa jinsi unavoeleza(sina maana hauna akili) na maanisha woga unatokana na kukosolewa mara kwa mara pamoja na kuwa na pointless unapokuwa na mijadala mbalimbali na watu. hivo mi nakushauri yafuatayo sababu hata mi hali hio nlikua nayo ila watu waliponiambia sifa hizo nlizonazo nlibisha ila nkaja baini katika vitendo vyangu kua kweli nkaanza kuiacha hio hali na bado naendelea kupambana hadi iishe

1EYE CONTACT
jifunze kuwakazia macho watu unapokua unaongea nao unaweza anzia kwa watoto angalau dakika 5 bila kuangalia pembeni ili u gain confidence na baadae jaribu kwa watu wazima taratibu na baadae utazoea hofu itaanza kupungua tena we ni mwalimu anza hata darasani baadae ofisini na hadi kwa boss wako
WARNING (usije kodoa macho kama panya amebanwa na mlango . angalia tuu kistarabu

2 READING BOOKS
soma vitabu na current issue mbalimbali katika newspaper na article mbalimbali ili uwe na point ya kuongea yenye fact mbele za watu sababu kwa maelezo yako inaonesha watu wanakupinga baada ya kuongea na weww na kugundua hauna point kama nlivosema hapo mwanzo

3 DISTANCE YOURSELF FROM NEGATIVITY
acha kuwaza hasi kila wakati unapothubutu kufanya jambo mfano unaweza anza kuuza mitumba ukaogopa eti watu watakufikilia vibaya. Acha kabisa hayo mawazo kua watu wanajadili maisha yako we piga kazi tuu

4 STOP BLAMING YOURSELF
achakujilaumu au kujihukumu unapokosea jambo kwani itakufanya ujione mkosaji na kuepuka kuthubutu. Huna mamlaka ya kujihukumu chini ya jua hio ni kazi ya muumba pekee

5 STOP FEAR WITHOUT REASON
ACHA kuogopa watu pasipo sababu jifunze kuwaongelesha wale unao waogopa ili upate confidence kwao

6 SOCIAL INTERACTION
changamana na watu wa kila aina ila hakikisha unakua unajifunza kwao kitu kilicho chema
 
Real, ngoja nijaribu, mana imekua ujinga yani, nnaweza enda ugenini nikashindwa kumaliza chakula nikihisi watasema nakula sana
 
Jaribu kwenda kwenye maombi.
Mfano kituo cha sala Ubungo.
Eusmath ukafunguliwe njia yako.
Wapo kila siku. Hawana ubaguzi dini yoyote ni ruhusa kujumuika nao pamoja
 
Acha kuhangaika na mapungufu.. Utakosa kujiamini Fikiria mazuri uliyonayo. Just know your worth.
 
Kifupi ninatatizo la kma kuzubaa, kutojiamini, mzembemzembe flani , yan sijui nijielezee vipi
Nasema haya mana alianza niambia bibi alienilea kua ninakuzubaa na mke nitajae muoa asipokua mvumilivu atakua ananiona uvivu,

Wapili ni wanawake, ninabahati ya kupendwa na wanawake kwamara ya kwanza tu kuniona wengi huvutiwa na mimi hasa nilipokua advance na zaidi chuoni, ila wanapopata nafasi ya kuongea na mimi huniambia sijiamini niko kma mtoto , ni zaidi ya 10 ,

Sasa nimemaliza chuo,( ualimu) kuna mama mtu mzima alitaka niweza ktk biashara ila ktk maongezi akanambia sijiamin( alikua sugar mami so haikuniuma sana.

Lakn kilichonisukuma kuandika uzi ni baba mdogo ninaeishi nae, kutokana na hali ya ajira, yy ni mfanya biashara , amenishauli niachane na ualimu, aniingize ktk biashara italipa zaidi,

Ila leo karudi ananambia mi siko active kabisa na hajui kma ntaweza kweli kusimamia business na kuja kusimamia mwenyewe .

Simlaumu mana najijua mwenyewe na sijui nn cha kufanya nichangamke, hii hali inaniuma na inanikosesha vingi,

Plz nisaidieni nifanyeje
Unaona usivyojiamini sasa,we nenda tu kafundishe watoto wetu ila uwaambie wao wajiamini
 
Nakuongeza hapo hupendi mikusanyiko na watu pili una2aza watu watakuonaje ukifanya 1 2 3

Hata mimi nilikuwa kama wewè ila kwa sasa najitahid sana kuikimbia hali hiyo

JIAMINI SANA unayoyawaza wala hamna mtu anakufiliria hivo
 
Back
Top Bottom