Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

CRDB wamepandisha riba ya junior jumbo; akaunti ya mtoto ni asilimia 4%. Nafikiri hii ndo benki nzuri ya kumfungulia mwanao junior jumbo, nasikia iyo akaunti haina chaji kabisa withdrawal or...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Hi! Hope you had very successful 2017. I hope its your plan to achieve ISO 9001:2015 Certification for your organization in 2018. It is very possible. Pangolin Quality Consulting Co. Ltd will...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina mtaji wa milioni 1. Naomba ushauri kwa anaefahamu kuhusu soko la nguo Uganda. Ukusantaji na namna ya kuingia na kutoka nchini Uganda. Kiukweli sijawahi enda nchi za nje. Asante sana
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Habari wakuu, naomba mwenye ujuzi na mambo ya fedha anisaidie. Kuweka fedha benk katika akaunti ya muda maalum(fixed account) au kununua hisa kipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa malengo. Ushauri...
1 Reactions
66 Replies
13K Views
TENGENEZA FAIDA KUBWA KWA KUWEKEZA NA BITCLUB ADVANTAGE* BITCLUB ADVANTAGE *IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE* HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! Nina kiulizo hapa kwa wale wajuao mambo, pia naamini siwezi kuwa peke yangu nisiyejua, wapo hata wasiojua ninachouliza ni nini, huenda nao wanaweza kujifunza ikiwa Bitcoin...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwishoni mwa mwaka 2017 waziri wa fedha na mipango FILLIP MPANGO alitoa agizo la matumizi ya shilingi ya Tanzania katika huduma na ununuzi wa bidhaa kwa wananchi. Agizo hilo lilitegemewa kuanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye uelewa na hizi biashara za network marketing naomba anipe in and out ya biashara hii maana nimekuwa nasikia watu wengi sana kuwa huwa wanajiunga. 1) Hii mifuko huwa inaukweli wowote kwamba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
734 Views
napenda kwashirikisha wanajamii hili suala la mikopo kwenye mabenki yetu hapa Tanzania.siku hizi ukienda kuomba mkopo benki utapewa masharti kama tulivyozoea,ila kinachonikera ni tabia hii ya...
0 Reactions
30 Replies
16K Views
Mhe. Charles J. Mwijage (Mb) Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji amekabidhi mradi wa kujenga Industrial Sheds kwa Mkandarasi JKT mkoani Simiyu tarehe 2 Jan, 2018. Mradi huu ni mahususi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Kama mada inavyosema nina gari zangu mbili zipo tu hazina shughuli. Moja ni Ti Carina na nyingine ni Spacio new model, sitaki kuwapa madereva wa mtaani maana sitaki usumbufu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki. Je nataka kujua faida...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Salamu wana jf Kama tunavyoinasibisha Jamiiforums kama shule kwahivyo tumejifunza mengi hususani katika nyanja za biashara na ujasiriamali, nikianza mimi Nimejifunza vingi ila kimoja wapo ambacho...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Juzi kwenye taarifa ya habari ya Azam niliona maandalizi makubwa ya kuanzisha kiwanda cha sukari pale mto Wami. Nikiwa mkazi wa Matipwili naona kwangu hiyo ni fursa ya kiuchumi mwaka huuKaribuni...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Salam zenu wakuu, Naombeni tu nijuzwe maswali kadhaa tu yaliyoniacha njia panda Nimejaribu kufatilia interview moja kutoka kwa millardAyo kuhusu pesa za tanzania zinavyotengenezwa,aliyekuwa...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Leo nataka nilete ushuhuda kuna kitu nimekifanya na nashukuru kimenilipa tena kwa mara ya kwanza kabisa. Leo nilienda kkoo kufanya research za biashara nikapiga picha baadhi...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau nimelazimika kuuleta tena huu uzi ili nipate msaada wenu juu ya jinsi ya kuingiza simu used na brand new tokea China na Korea. Nataka kuingiza simu genuine Samsung brand toka Korea na simu...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold dropped massively in the first half of last month, reaching a low of 1236.21 on December 12, 2017. At that juncture, further bearish movement was...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Back
Top Bottom