Kwa welewa wangu mdogo katika kile ninachokifahafu, Chombo kimojawapo cha kuendesha uchumi wowote duniani ni the use of Budgets. Nitaongelea aina tatu za Budget na madhara yake.
1. Surplus Budget...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
There is a Bullish Confirmation Pattern on the market. Price went upwards by 170 pips last week, almost managing to...
Habari wakuu?
Naamini Jf ni familia moja,nimepata dharura hivyo nahitaji milioni 6 tu nitatue tatizo langu,dhamana ni gari yangu mwenyewe...gari ni Toyota Wish,utabaki na gari mpaka...
Habari wanabodi. Kabla sijafika mbaki napenda kuwashukuru wote mliotoa michango yenu kuhusu manunuzi kwa njia ya mtandao. Kweli mimi binafsi nimefaidika sana na michango na nyuzi zenu Mungu...
Habari wana jf Mimi nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mtandao wa Jamii forum
Nimekuwa miongoni mwa watu wanaojivuania ushauri pamoja na mawazo yanayoambatana na fulsa kadha wa kadha zinazotolewa na...
Kama title inavyojieleza wadau, nataka kufungua maabara ya vipimo vya afya kwa kigamboni kimbiji. Je kuna anayefahamu sehemu yenye uhitaji wa huduma hii?
Wakuu nimatumain yangu mungu ametufikisha salama kwamara nyingine tena siku yaleo tunaendelea namajukumu kama kawaida.wakuu ninalo eneo lenye madini aina yadhababu tayari limeshalifanyia hatua za...
Wadau nimekopa ela bank nikaamua kujifungulia biashara zangu, ya kwanza nlikuwa natoa ndizi mikoani naleta Dar kwa kiasi flani nilifanikiwa lakini mwishoni nikakutana na madalali feki...
Habari wakuu,
Hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza kuzifuata ili uondokane na madeni mwaka 2018. Madeni ni chanzo cha umaskini na kuua biashara za vijana wengi. Pia athari kama magonjwa ya moyo...
Hello waungwana.
Natamani sana kujiajiri hususani kufanya biashara ya kutengeneza juisi na vyakula...
Napenda mwaka 2018 nisajili biashara yangu na Kumiliki brand yangu binafsi ila bado sina...
Salama wakuu?
Mitaani kuna mazungumzo kibao kuhusu fursa zilizo wazi mjini au nje ya mji wa Dodoma. Napenda kunufaika na mojawapo ya fursa hizo mjini au nje ya mji. Napenda kuzijua na pia kuteua...
Kama uzi unavyojieleza vitabu vinavyowabadilisha watu na maisha Yao hi hivi,
think and grow rich,,
retire young retire rich,
the millionaire,
rich Dad poor dad.
Kama na wewe una vitabu...
Mwenye full details za hawa jamaa aniandikie tafadhali. Kuna jamaa yangu kajitosa huko eti unawatumia hela kiasi kama yeye kawatumia laki mbili km mtaji then baada ya wiki wamlipe laki moja, wiki...
The Rt. Rev. Benson K. Bagonza, bishop of the Karagwe Diocese, Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT), shared stories of impoverished people in Africa with more than 25 Christian, Jewish...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.