Natafuta Mwekezaji Mwenza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mwekezaji Mwenza

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sanjara Honey, Aug 14, 2009.

 1. Sanjara Honey

  Sanjara Honey Member

  #1
  Aug 14, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Nina Mchangamanuo wa Kibiashara ambao umekwisha shinda kumi-bora katika mashindano matatu tofauti ya kitaifa. Japo mtaji unaohitajika si mkubwa, lakini umeshindikana kupatikana kupitia Benki. Hii ni kutokana na taratibu na mlengo/mtazamo wa Benki zetu. Biashara yenyewe ina sifa hizi:


  • Inatoa gawio la 35-40% ya mtaji-wekezwa kwa mwaka

  • Biashara haipungui mwaka mzima na sekta iliyoko Biashara hii mahitaji yanaongezeka kwa kasi mno kuliko watoahuduma/bidhaa waliopo na wanaojiunga

  • Haimhitaji mwekezaji/promoter kutumia muda mwingi katika kuisimamia

  • Ni nzuri sana kwa watu wa rika zote lakini hasa vijana wenye uwezo wa kati na wazee wanaostaafu au waliostaafu
  Zaidi ya sifa hizi pia

  • Inatoa ajira kwa watanzania wenzetu

  • Inaongeza pato la wajasiriamali wengine nje ya mwekezaji/Promoter na nchi kwa ujumla
  Mwekezaji mwenza atashikiri katika Biashara kama Mkurugenzi (Director). Ni hiari yake pia kuamua kama atataka kuwemo katika safu ya Utawala (Management).
  Kama uko tayari kukutana na Mvumishaji (Business Promoter) wa Mchangamanuo huu, tuwasiliane kupitia:

  sanjarahoneytz@gmail.com

  ANGALIZO: Ni wale tu walio na nia ya dhati kuwekeza ndo wanaalikwa kuwasiliana kupitia email hapo juu.
   
Loading...