Natumaini mko buheri wa afya kabisa.
Kila wakati nikiwa naangalia taarifa ya bahari ya ITV huwa naona taarifa ya mifuko ya UTT AMIS na nimekuwa sielewi kwa hakika ni nini hasa.
Mwenye maelezo ya...
Ni mteja wa miaka zaidi ya mitatu wa Vodacom na nimetumia hela yangu nyingi sana kwenye huduma zao hadi nimekuwa mteja wa thamani. Nimekuwa nakopa na kulipa kwa wakati (isipokuwa mara moja tu...
Habari za asubuhi wana Jf.Jana usiku nilishirikishwa kikao cha familia ya Mzee mmoja mstaafu mwalimu wa shule ya msingi wilaya ya Muheza Tanga.
Huyu mzee ni msambaa amepata milioni 77 ana watoto...
Heri ya Mwaka!!
Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu.
Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje?
Siku...
Ni imani yangu kuwa jukwaa hili ina wazoefu katika kila kipengele fulani cha biashara.
Naomba kushauriwa nataka kuanzisha biashara ya;
1. Mashine ya kukamua alizeti- nataka nifugue Dodoma...
kwa yoyote anayetaka kufunguwa biashara ya fitness center yani gym mtwara mjini naomba anicheki tuangalie jinsi ya kuchangamkia fursa hii aliyetayari anicheki
Jamani humu kwema. Wadau kwetu kuna njaa sana hasa miezi ya February, March na April. Ni miezi ambayo kwa kweli kunakuwa na shida kubwa sana ya chakula.
Watu wanajinusuru kwa kununua mihogo kwa...
Siku chache zilizipita , BOT imezifungia benki tano na kuziweka chini ya uangalizi benki nyingine tatu ambazo ni Kilimanjaro corperative Bank, Tanzania Women's Bank and Tandahimba Community Bank...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
The market essentially consolidated throughout last week – in the context of an uptrend. Although price did not go...
Hello wapendwa,
nilikua nauliza maswali gani unatakiwa ujiulize binafsi kabla ya kuanzisha biashara....??
naenda kumuona business advisor,ila ningependa baada ya kupata ushauri wake nimuulize...
Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani. katika kiwanj a kuna maji pia umeme Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na...
Editorial correction to the Directors Report for year ended 30th June 2017. Paragraph 13: Results and dividends on page 13 of the Report of the Controller and Auditor General on the Reports and...
Habari zenu wakuu
Mimi ni mjasiriamali lakini kwa sasa nina wazo jipya la kufanya Foreign Exchange(Forex) lakini kwa uchunguzi wangu nilioufanya siwezi kupata faida kama nitanunua bureau na...
Habari wana bodi,
Mimi ni mstaafu wa umma, katika maisha yangu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha kampuni ya kuhuisha taka chafu na kwa sasa naona nina muda wa kutosha sasa kusimamia shughuli zangu...
MAGARI ya kifahari yaliyokwama kwa muda mrefu Bandari ya Dar es Salaam kutokana na waagizaji kushindwa kulipa kodi mbalimbali kwa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), yameanza kupigwa mnada huku kukiwa...
Wana bodi.
Nafikiri kila mmoja amesoma na kusikia taarifa ya BOT baada ya kufungia benki 5 kwa kushindwa kufikia mtaji wa Bilioni 2 kulingana na sheria zao.
Kilichoshangaza wengi ni kuwa wateja...
PDF Reports of The 47th World Economic Forum Annual Meeting Based On Travel and Competitiveness Index, Held on 17 - 20 January 2017 in Davos-Klosters, Switzerland (The 48th World Economic Forum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.