leo thamani yake imeporomoka balaa....yaani jana rate yake kati ya tshs na bitcoin ilikuwa 1 bitcoin= 21 tshs milions na ushee hv ...ila leo thamani yake ni 1 bitcoin= tsh 15,990,501 ni anguko...
Habari zenu wakuu,
Kijana wenu kuna fursa ya kupiga pesa "ndefu" nimeiona huko kwa wenzetu a.k.a "ng`ambo". Katika mtiririko wa "kujaza makaratasi" nikajikuta naangukia suala la kuthibitisha...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair is bearish in the short-term, for price went southwards throughout last week, moving downwards from the...
Habari wadau;
Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu...
Habari wana-jukwaa?
Kumekua na ongezeko kubwa la mabenk ktk kipindi cha karibuni. Kila mteja amevutiwa na baadhi ya huduma na kuamua kujiunga na bank inayomuhudumia.
Binafsi naipenda CRDB...
Habari wanaJF.
Mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji mkopo kutoka kwa mtu binafsi anayekopesha kwa riba.Sihitaji pesa nyingi sana.
Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anipm.Nina shida msaada...
Habari
Kama unapesa na hujui ufanye biashara gani au uko busy sana lakini unamtaji na upo dsm naomba ni pm, biashara nishaifanyia utafiti, pm nikueleze aina ya biashara kama utakuwa tayari...
Wiki hii nilibatika kufanya interview na Kijana mdogo anayejulikana kwa jina la Ally Chiwaga ni mkazi wa hapa Dar es Salaam..
Kijana huyu kwa wiki anaingiza elfu 70 kwa Biashara ya Karanga...
Habari wana jukwaa wenzangu,
Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.
Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi...
Wakuu uwa najiuliza kwanini hii nguvu ya kutuamasisha tucheze biko tatu mzuka na mechezo mingine mingi ingeamishiwa kwenye mambo ya msingi kama kilimo biashara na mengine mengi na ukakika kwa...
Habari za weekend!
Nipo hapa napata bia huku nikitafakari sana!
Nina maswali yananiijia kichwani sipati majibu; naombeni wataalamu mnitoe tongo tongo hapa!
1. Hivi kama serikali kuna wakati huwa...
Zao la bangi limekuwa likilimwa sana Tanzania, na tumeona kwenye vyombo vya habari mara nyingi tu mashamba ya bangi yakiteketezwa.
Ni ukweli usiopingika kuwa tumbaku inamadhara makubwa kuliko...
Habari wadau;
Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu...
Habari wadau;
Kuna biashara nyingi ambazo mtu anaweza kufanya kwa kutumi kompyuta yake.Mojawapo ni biashara kuuza au kutengeneza website.
Nimesema kuuza au kutengeneza kwa sababu utaalamu wa...
Wakuu habarini za wakati huu. Mapenzi mubashara ndugu zangu watafutaji/wajasiriamali/wafanyabiashara yasiwe tu kwa wapenzi wetu bali hata sisi watafutaji tupendane sisi kwa sisi hasa kwa kipindi...
Leo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa.
Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe...
Ningependa tu share ujuzi juu ya hii biashara ya uuzaji wa bidhaa na kampuni tajwa apo juu, Je! kuna ukweli wowote na sio utapeli jamani???
Mwenye kitu tafadhali usisite kudondosha apo chini
Habari wadau,
Niko napitia gharama za licensing fees pamoja na taratibu.Ninavyoona ni kama vile hii kazi kuwapa halamashauri ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na ni gharama za ziada kwa...