Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu habari za majukumu, Nina kiasi cha milioni mbili na nusu, naomba ushauri wenu kati ya haya mawili -Nina eneo kujenga chumba self kimoja cha standard ni milioni mbili na nusu, umeme, maji...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Benki Kuu ya Tanzania ndio taasisi yenye usimamizi wa taasisi za kifedha zifanyazo kazi nchini zikiwemo mabenki. Moja ya jukumu la Benji Kuu ya Tanzania ni kui endorse maafisa wakuu wanaotaka...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Biashara ya kuuza vifaa vingi hususani till za voda ni chanzo kikubwa cha utapeli kwenye ofisi zao. Vifaa vingi vinavyotumika kwa ajili ya kazi zinazohusu vodacom hutolewa bure lakini ukienda na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mi nataka kujua ni aina gan ya bidhaa naweza kuingiza toka dubai kama nina milion nane je nauli na gharama za kwenda na kurudi zikoje
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Wakuu habari, Naomba ushauri juu ya biashara ya maji ya uhai(chupa)na maji ya viroba ya Tsh.100. Changamoto ni zipi na maeneo gani ambayo naweza fanya biashara hii. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
17K Views
Wakuu, Kuna jamaa mmoja anaulizia kama mtu anaweza kufanya malipo online kupitia mpesa?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nigeria wanaye tajiri mmoja anaitwa Tony Olumelu. Huyu bwana anao mradi maalum (foundation) kwa ajili ya vijana wa kiafrika wenye mawazo mazuri ya kibiashara (entrepreneurship). Kwa miaka kadhaa...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu,. Mwaka 2014 nilihitimu kidato ya sita shule mojawapo nchini, nikafanya application kuingia chuo kikuu nikachaguliwa kwenda kusoma course ya uchumi pale udsm. Kwa bahati mbaya...
18 Reactions
254 Replies
76K Views
Jamani kama siku tatu au nne zilizopita nilikuta kipindi TBC na RC Makonda alikuwa akiongelea juu ya kufanyika Maoenesho ya bidhaa zinazozalishwa Dar es Salaam. Anayejua taarifa yoyote kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana jamvi, Nahitaji kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu kwa ajili ya kuwekea bidhaa za wateja wanaponunua vitu dukani kwangu. Naomba mnisaidie mawasiliano au sehemu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za mda huu.? Nimekuja jukwaani nikiwa naomba mchango wenu wa mawazo jamani muwe huru kuchangia...! *nina laki moja 100000Tsh then nataka kufanya business jaman nifanye biashara gani...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Banki ya NBC Tanzania ninaomba muondoe kero hii. Hatuna haja kutumia ATM kuweka hela kwenye akaunti. Nataka na ni maoni ya wateja wengi kwanini hamuendi kwa kasi. Tunataka tuweke hela kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina biashara mbili moja naifanya, hii ya pili bado nipo kwenye utafiti. NINAHITAJI PATNER Kwenye biashara ya pooltable ninalo moja kila siku linaniingizia 7000 (ndo hesabu nilompa kijana )ila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika mambo ambayo yanaonyesha kwamba kampuni ina matatizo ya kifedha ni pamoja na kutokua na taratibu maalumu za utendaji wake hasa katika matumizi ya fedha. Tatizo hili huwa sio la kushtukiza...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went upwards last week, creating a short-term bullish signal, before price got corrected lower on Friday. This...
1 Reactions
0 Replies
673 Views
Mambo vipi wadau naomba kuuliza namna ya kuanzisha Radio Station ni vitu gani natakiwa kuzingatia,taratibu za kufuata ni zipi na equipment zipi ambazo zinahitajika ilikuanzisha Radio Station ya...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa.Katika dunia ya leo kuna michezo ya aina mbalimbali kwa makundi rika tofauti. Lakini kwanini mchezo wa golf unapendwa kuchezwa na watu matajiri,kuna siri gani katika mchezo...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Samahani kwa yeyote mwenye uzoefu na bei ya gari aina ya hiace ile super roof, nakusudia kuinunua ila nahitaji used ya kutoka nje ya nchi, japan au dubai, niinunulie yard sio kwa mtu. kwa mwenye...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Naombeni kujua au msaada kuhusu hizi biashara ambazo wenyewe wanaziita online donation je zna ukweli ndani yake au ni ujanja ujanja tu mfano oilframe, global alliance, na zingine nyingi??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asee hii Pesa inazidi kusogea juu iko 12,760,000 kwa 1 BTC muda huu kutokea Milioni Tisa, Wale wenye nazo its ur time to get profit by exchange it to local paper money.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom