Habari wadau.
Naomba kuelimishwa kidogo, au tuelimishane,
Mtanzania anakatwa kodi kwenye mapato yake (mshahara) then akienda kununua vitu au kupata huduma kutumia pesa ile ambayo amekatwa kodi...
Katika siku za hizi karibuni naonekana ni vigumu sana kwa wiki moja kupita bila kuwapo taasisi yoyote itakayochapisha ripoti kuhusuTanzania. Wiki iliyopita ilikuwa zamu ya Benki ya Maendeleoya...
Biashara hii itakupa majibu ya kwanini uache;
KUKAA MTAANI,KUBET,FOREX TRADING,BITCOIN,ONLINE BUSINESS ISIYO NA TIJA NA PENGINE KUACHA KUAJIRIWA
REAL ESTATE NI NINI?
Real...
Mr. & Mrs na vijana wengine
Naomba ushauri wenu niko njiani kuanza biashara ya biashara ya Tgo pesa na mtaji niliokuwa nao ni (Tsh300000] tuu je nianze na mtaji huu mdogo au niongee kwakuchukua...
jaman wana jamvi habarin za asubuhi,
twende kwenye mada Mimi nataka knunua pikipiki ya kutembelea kwa MTU lakini sijajua taratibu zikoje,
ikizingatiwa hii ndo mara ya kwanza kufanya biashara...
Hi great thinkers Jana katika mitandao mbalimbali nchini kuligubikwa na taarifa za JPM kulipa bilioni 200 Kwa wadai wa ndani.
Napongeza hatua hii kwakuwa mvua zimeanza kunyesha sehemu nyingi...
Habari za humu brothers nd sisters .....
Nimepokea shutuma katika moja ya thread kuhusu biashara ambapo muhusika alikuwa akihitaji ushauri kuhusu biashara ya kufanya na mima kumshauri kufanya...
Wana Jf habar;
Nimekuwa nikizipitia hizi sifa za kufungua kampuni ya Uwakala wa forodha kwakwel mashart yake ni magumu, ikizingatiwa na hali ya upatkanaji wa pesa halafu TRA anahitaji uweke Bond...
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara za kuzungusha bidhaa mbali mbali za maduka ya nguo na vitu vidogo vidogo vijijini nisaidie nataka nianze Kazi hii bora niende kijijini nimeona Kuna pesa nzuri...
Kwa wale wenye uzoefu wa taaluma za "finance" na uwekezaji wataelewa kuhusu "capital pool" au mutual fund.
Huo ni uwekezaji wa kuchangia mtaji kwa faida ya wengi ambapo aidha unapunguza makali ya...
Mimi nakaribia kuwashindwa hawa jamaa...manake siwaelewi.Baada ya kusikia matangazo yao matamu kwenye Power Breakfast nikapata mzuka wa kuwekeza kwao ...na nikajua wapo serious lakini tangu last...
Habar wakuu Naomba ushauri wenu Nataka kuanzisha biashara ya kuuza pampers za watoto naomba kujua faida yake na changamoto zake kwa mkoa wa dar me nimepanga nitafute vijana kama 5 ivi halaf wawe...
Habari zenu waungwana,
Kuna biashara nilikuwa nafanya, yakuchukua mahindi hadi tone kumi kutoka mikoani, kuleta DSM. Sasa soko limeyumba kidogo hapa DSM, nikaamua kuanza kununulia hapahapa.
Ishu...
wakuu,habari nimeona nianzishe uzi huu maalumu kwa ajili ya kuwahamasisha vijana wa kitanzania kutokata tamaa ya kimaisha pamoja na magumu yanayotupitia ya kusaka chapaa,unaweza kuweka historia...
Wana Jamii, jana nilitembelea banda la Tanzania Investment Bank katika maonyesho ya Nane Nane hapa Dodoma na nikakutana na watengenezaji wa boat za kisasa za uvuvi (SONGORO MARINE BOAT YARD) ambao...
Good morning;
Apart from politics,I am a business turn around strategist and I have worked with a number of businesses and individuals in helping them map their career development.
The business...
Katika mafanikioa yako pambana sana na hali yako na utatoboa man.
Iwe ni kwenye biashara iwe ni kwenye kazi na respect sana Dream yako. You have a dream na respect sana your own dream na kamwe...
habari za usiku
Wengi tumewahi ama kuanzisha au kufikiri kuanzisha biashara fulani.
Mara zote tunapowaza biashara kuna mambo madogo lakini ya muhimu sana ambayo huwa hatuyawazi sawa sawa ambyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.