Huyu ndo kijana mwenye mafanikio ya biashara kwa muda mfupi sana

msuyaeric

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
838
1,167
Wiki hii nilibatika kufanya interview na Kijana mdogo anayejulikana kwa jina la Ally Chiwaga ni mkazi wa hapa Dar es Salaam..

Kijana huyu kwa wiki anaingiza elfu 70 kwa Biashara ya Karanga.. kiukwel ni ngumu kuamini ila huo ndo ukweli

 
Safi sana,Inapendeza.
lkn labda niulize kitu hiyo ni faida tupu
kwa maana ya kwamba gharama za uzalishaji
na kodi umetoa?
Duh una akili wewe sana... Gharama ya kutengeneza Karanga NI ndogo Sana Seema faida ni juu ukimsikiliza vizur anasema ndani ya wiki 2 aliweza kulipa ada ya laki3 ili afanye mtihani
 
Back
Top Bottom