Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

eggie

Member
May 11, 2014
16
0
Habari wanaJF.

Mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji mkopo kutoka kwa mtu binafsi anayekopesha kwa riba.Sihitaji pesa nyingi sana.

Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anipm.Nina shida msaada jamani.
 
Kwa nini usiende kukopa Bank zenye riba ndogo?. Kumbuka mkopo ni kwa ajili ya kuendeleza biashara na si kuanzisha biashara au vinginevyo.
 
Mkuu mpe maelekezo yaliyokamilika, ili apajue hapo,hakuna anaependa kuomba itakuwa jamaa amekwama msaidie tu

Na wewe unataka? Maana unavyoshabikia nakuona kabisa uko Dar na boonge la njaa tarehe hizi kwa wafanyakazi baadhi hata ukimwambia umkopeshe kwa 200% anakubali tu hawajui hata madhara yake.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Na wewe unataka? Maana unavyoshabikia nakuona kabisa uko Dar na boonge la njaa tarehe hizi kwa wafanyakazi baadhi hata ukimwambia umkopeshe kwa 200% anakubali tu hawajui hata madhara yake.

Nakaribia miaka kadhaa sijafika home,hata ingefikia nataka basi ningekwenda bank maana vigezo vya kukopa bank ninavyo,
Lakini usisahau kama tatizo kubwa la huko home ni dhamana wengi wanatamani kukopa lakini hawana dhamana,
Mimi kusema msaidie sio sababu Mimi nataka Jf ni sehemu kubwa wengi watasoma na wengi itawaisaidi nadhani umenifahamu.
 
Na wewe unataka? Maana unavyoshabikia nakuona kabisa uko Dar na boonge la njaa tarehe hizi kwa wafanyakazi baadhi hata ukimwambia umkopeshe kwa 200% anakubali tu hawajui hata madhara yake.
Ngongoseke msamehe tu watu wengine wana maneno ya shombo sana japo kanichekesha sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom