Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wasaalam wakuu Kama kichwa kinavyojionesha hapo juu swali langu la msingi ni kwanini watu wengi hasa sisi ( watu weusi) tunashindwa kujipangia malengo??namaanisha clear,written,measurable and...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Heshima kwenu brothers and sisters poleni na mihangaiko ya kila siku,, Naomba mnisaidie informations in details katika hiyo business in Tanzania, hivi mchakato wa kurun those firms inakuaje na...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Good morning my beloved members! Natumai mmeamka salama.Leo niwape nilicho kiona mwaka jana huko Gabon. Nilifikia kwenye jiji la Port- gentil Kwa matembezi ya kawaida kuangalia fursa za...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, naamin mpo salama na amani imetawala. Wadau mimi binafsi nilitaka tu tushirikishane fursa mbali mbali zilizopo kwa sasa. Naamini kila mtu anakubali kuwa hali ni ngumu sana...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Ndugu wana jf, mm ni mwanafunzi wa chuo kikuu ,nimekwama ada kiasi cha laki 2 , aliye tayar kunikopesha kwa dhamana hata ya chet cha form 4 & 6 ,au mashart mengine yasiwe magumu ,naomba anisaidie...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This week, EURUSD assumed one of its strongest movements in recent times. Since December 18, 2017, price has gained 800...
2 Reactions
1 Replies
940 Views
Juzi nilikuwa napita pita maeneo ya mjini kama unavyojua Mkulu kesharuhusu wamachinga kupanga vitu, nikawa napita kutafuta saa moja hivi ya mkononi kwa ajili ya mdogo wangu. Nikapita eneo...
12 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, salamu na pole na mishughuliko mingi, Kiukweli ukifika Ubungo kutoka Mataa- pandisha kama unaenda Kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana kumpata mwekezaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndg...Wana Jf...Mimi ni mkulima Nina pump mpya...Aina ya Sansan...ya petrol horse power 5...Natumai kuvuta majitoka bwawani kuna Kwenye Karo la Kumwagilia...Nashangaa Leo ghafla Mora...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jameni kwa ambaye anafahamu naomba msaada kuhusu hii biashara.Naomba kufahamu yafuayayo:- 1.Vifaa vinavyotumika na bei zake 2.Wapi naweza kupata matetials kwa bei nafuu hapa Dar 3.Bei ya kuuza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa. Ni jioni ya machungu Kwa jirani yangu muda huu anapokonywa vitanda makochi na kila kitu Kwa kushindwa marejesho ya maliyeshindwa mwezi mmoja tu. Mvua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Uganda - 25% living below the poverty line. Tanzania - 29% living below the poverty line. Kenya - 46% living below the poverty line. Don't let GDP figures mislead you. I always tell my fellow...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Habari zenu wadau, Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu, naomba kujua faida zake na changamoto zake hii biashara ya baby diapers (Pempas watoto) kwa mkoa wa Dar na mbinu gani niweze kutumia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Farm for Lease A 2.5 hectare brick fenced farm at Madale Kisauke in Dar is for Lease. The farm has a chicken house that is fully equipped with water drinkers. It can accommodate up to 10,000...
2 Reactions
2 Replies
696 Views
habari wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa wale wenzangu na mimi ambao tunafanya biashara ya vitu used. Yani kwa mtu yeyote anayeuza kitu chochote used anaweza kuutumia huu uzi na kutangaza na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza camera Canon 650D kwa bei ya shilingi 850,000 tu. Pia napokea exchange deal na Smart TV LG au Samsung picha za Camera zipo hapa ndani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba kufahamu faida inayopatikana kwenye mifuko ya UTT inatolewa katika mfumo wa simple interest au compound interest; yaani faida inakuwa inajumlishwa na mtaji au usipo nunua vipande...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Ningependa kugusia kitu kabla sijaenda kwenye swali langu. Tukikumbuka mwaka Jana ama mwaka juzi vyuma vilipo anza kukaza watu wengi walikuwa wakilalamika pesa imepotea mtaani...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Back
Top Bottom