Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habar Zenu wadau Naomba msaada kujua kwenye hilo nililouliza kama tittle inavyosema apo juu Nawasilisha Ahsanteni Unaweza kutag watu mbali mbali waje watusaidie juu ya suala langu ilo apo
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Habarini wakuu!, Matumaini yangu mpo wazima. Aisee, mimi naombeni ushauri na ujuzi juu ya biashara ya uuzaji wa magazeti mbalimbali ya kitanzania toka global publisher na kampuni zingine toka...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Non-performing loans (NPL) ni ile mikopo ambayo benki au taasisi ya kifedha imeitoa kwa wateja na wadaiwa wakashindwa kuirudisha kwa wakati uliainishwa kwenye mkataba au makubaliano. Hizo benki...
5 Reactions
83 Replies
18K Views
Habari Great thinkers..Baada yakukaa kwa muda mrefu naandika mabarua yakuomba kazi ya kufundisha masomo ya Geography na English (secondary)nimeamua kuomba ushauri wa nikwanamna gani naweza pata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
TANZANIAN FIRMS FEUD OVER BRAND NAME IN RWANDA Two rival Tanzanian firms, Bakhresa Group and Azania group of companies, both with interests in Rwanda are involved in a bitter feud over a...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
WorldRemit imeshuhudia ongezeko kubwa la shughuli za kutuma pesa nchini Tanzania WorldRemit imeshuhudia ongezeko kubwa la shughuli za kutuma pesa nchini Tanzania Huduma hii dijitali ya kutuma...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Hi great thinkers baada ya juzi mwalimu mstaafu kuwapa mitaji wanae pesa zimeanza kutumika kama ifutavyo: Watoto wa kike wawili wamenunua shamba ekari tano wameshanunua miche ya michungwa...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
1. A business plan is a marketing action. A well-thought-out and presented business plan demonstrates to yourself and others that you are serious about your business idea, you have the passion...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Binafsi nimekua mshabiki wa Bitcoin, sio tuu kwa maneno bali pia kwa vitendo, kwa vitendo kwa maana ya kuwekeza katika hii teknolojia: kuwekeza fedha, muda na jitihada. Hivyo sizungumzi haya bila...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ya jioni wana jamii. Mdogo wangu ana mtaji wa shilingi milioni kumi, ila hajapata chaguo sahihi la biashara ipi afanye, alikuwa amewaza kufungua salun ya kiume aiweke iwe na vifaa vizuri...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Tayar nina frem..nataka kuchukua mkopo wa 4m kwa ajili ya kazi hiyo naombeni ushauri.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za kushinda ndugu zangu,polen kwa majukum ya kujenga taifa letu,naomba msaada kwa anaefaham makato ya NMB na CRDB kwa kila mwezi,pia naomba kufaham makato yao pia kila baada ya kutoa pesa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naombeni ushauri
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katikapitapita zangu nimekutana na vijana wabunifu wakiwa na program yao mahususi kwa Wajasiriamali,Viwanda vidogo na makampuni amabyo itawezesha kuuza biashara zao kwa njia ya soko la mtandao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kwenye nchi kila siku bank zimekuwa zikiongezeka kila siku. Hali hii ni nzuri maana inaongeza ushindani na kumfanya mteja kupata huduma nzuri zaidi tofauti na bank ilivyokuwa chache. Kwa...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Rafiki Najua watanzania wengi wanapenda kusikiliza kuliko kusoma, wanapenda kuletewa habar kuliko kuzifuata, hata mimi miezi kadhaa nilikuwa hivyo nilipenda kuuliza kwa simu, kila biashara...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf.Hili ni jukwaa langu ninalolipenda sana hapa ni kama nyumbani.Baada ya mwaka2017 kuisha kwa mafanikio makubwa kwangu kupitia assets zangu mbalimbali huu mwaka lazima nipige...
2 Reactions
9 Replies
990 Views
Wanajamvi, Mimi binafsi napenda sana biashara kitu ambacho kimenifanya niwe mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yahusuyo biashara. Nilichikiona Leo pale Mabibo soko la matunda miundo mbinu ya pale...
11 Reactions
50 Replies
12K Views
Hivi kuna sababu gani ya abiria ambao bado hawaja nunua ticketi kutozwa pesa endapo wakitaka kuingia Ubungo? Lakini haishii hapo bali hata wale wasindikizaji nao hulazimika kuishia nje otherwise...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari wadau.. mimi ni artist tu niliyebase kwenye graphics designing, tshirt printing, posters and banners printing na proffessional photography... nilianza business miaka kama minne iliyopita...
27 Reactions
70 Replies
11K Views
Back
Top Bottom